NGOSWE2
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 1,398
- 1,686
Hivi kweli unapoteza muda na huyo mkuu?coverage ya habari iwe kwenye vichwa vikubwa vya habari katika media mbalimbali.
Kama si mtu wa masuala ya media, basi jaribu hata kufuatilia wanayoyasema newscaster wakati wa habari hasa kwenye vyombo nilivyoviorodhesha ndio utagundua what is an international news!!!
Watu wa namna hiyo kuelimika kwao ni kazi, hasa ukizingatia ni kikongwa hana muda wa kupoteza.