simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,216
Dar es Salaam bridge
Nimesema muache maneno mengi mlete taarifa za matendo, haya mapicha ya Waturuki na Waswahili waliovalia helmet ni ya kuuza sura za wanaume tu.
Sisi leo hii tunasafiri kwa SGR wakati nyie bado mnashangaa shangaa.
Ni kama ile flyover ya TAZARA ambayo huwa mnaturingishia humu, nilipita hapo juzi wakati naenda JNIA, bado mnajenga na kuchimba chimba wakati sisi flyovers bora kuliko hiyo tulishachoka nazo.
Hakuna mkataba unaosema Lamu port itajengwa usiku na mchana. Picha yako inapotosha, maana kama unaelewa ujenzi utaelewa msemo ubaosema "ZEGE HAILALI", ikimaanisha lazima zege (concrete) iwekwe yote mpaka iishe lasivyo ukuta hautakuwa imara na unaweza kuvunjika (it might crack).Kwani hii ndo mara ya kwanza kuona project ikijengwa usiku na mchana nini??? Sikuhizi hata nyumba za ki binafsi zinajengwa usiku na mchana..... SGR ya kenya ilimalizika 8 months ahead of shedule unafikiri walifanya vipi, wale jamaa walikua hawana cha weekendi wala nini, wafanyikazi wanalipwa kulingana na masaa kwahivyo yeyote anayejiskia anaendeleza na wale waliochoka wanapisha wengine ...
Anyway, hii hapa Lamu port inajengwa usiku na mchana
Nimesema muache maneno mengi mlete taarifa za matendo, haya mapicha ya Waturuki na Waswahili waliovalia helmet ni ya kuuza sura za wanaume tu.
Sisi leo hii tunasafiri kwa SGR wakati nyie bado mnashangaa shangaa.
Ni kama ile flyover ya TAZARA ambayo huwa mnaturingishia humu, nilipita hapo juzi wakati naenda JNIA, bado mnajenga na kuchimba chimba wakati sisi flyovers bora kuliko hiyo tulishachoka nazo.
Sio jubelee waliofanya actual construction...... wafanyikazi ndo walifanya actual construction....... Na huo mkataba wenu wa usiku na mchana unachekesha, unafaa u sign mkataba kulingana ukiwa na deadline alafu contractor ndo ataamua atafanya nini asipitishe dealine, kama ataamua kazi inaaanza sa kumi usiku, kama itafanya na shift, ....hayo yote ni yake.... SGR yetu ukifwatia picha za pale mwanzo mwanzo walikua wanafanya kazi hadi saa tatu au saa nne usikuHakuna mkataba unaosema Lamu port itajengwa usiku na mchana. Picha yako inapotosha, maana kama unaelewa ujenzi utaelewa msemo ubaosema "ZEGE HAILALI", ikimaanisha lazima zege (concrete) iwekwe yote mpaka iishe lasivyo ukuta hautakuwa imara na unaweza kuvunjika (it might crack).
8 month ni kwasababu ya Jubilee walikuwa desperate kuonyesha nini walifanya katika miaka yao mitano.
Umejiandaa vipi na al shabaab?Pinnacle Tower, Nairobi [U/C]
The twin tower consisting of a 70flr and a 45flr Towers will stand at 300m and 200m respectively upon finishing to become Africa's Tallest Tower
View attachment 605608
Kukoroga zege unaona kazi sana? Ndio maana wachina wakachakachua kwenu.Sasa hapo mbona hatuoni zege ikikorogwa, ni mapicha mapicha tu ya jamaa wamevaa mavazi ya kazi usiku ambao hatujui saa ngapi, inawezekana mida ya saa moja usiku.
Tatizo Waswahili maneno mengiii kabla ya kuanza kazi yenyewe.
Sisi wakati tunajenga SGR tuliwajazia huku picha za wanaume wakiwa kazini, sio huu urembo mnatuonyesha hapa. Halafu mkumbuke mambo ya SGR kwetu sio habari tena kwetu, kwenu sawa maana ndio bado mnaanza kushangaa shangaa, naskia hata fly over bado mnashangaa wakati sisi tulishachoka nazo.
So unafikiri huku tafanya chini ya 24hrs. Kama maelezo yanavyosema, kazi zitafanyika usiku na mchana (24hrs) na mkandarasi (constructor) amesha weka saini na kukubali. Sio kwenye SGR tuu hata bomba la mafuta la Uganda ni hivyo hivyo, bandari ya dar wanafanya 24hrs.Sio jubelee waliofanya actual construction...... wafanyikazi ndo walifanya actual construction....... Na huo mkataba wenu wa usiku na mchana unachekesha, unafaa u sign mkataba kulingana ukiwa na deadline alafu contractor ndo ataamua atafanya nini asipitishe dealine, kama ataamua kazi inaaanza sa kumi usiku, kama itafanya na shift, ....hayo yote ni yake.... SGR yetu ukifwatia picha za pale mwanzo mwanzo walikua wanafanya kazi hadi saa tatu au saa nne usiku
Masanja Kadogosa yuko vizuri ni mmoja wa vijana wanaowakilisha vyema vijana wengine kwenye awamu hii ya Tano, wanafanya kazi zinaonekana, akaze zaidi tuone mafanikio ya hii kazi!Mwendo mzuri sana,na uyu jamaa angekuwa mkurugenzi kamili ameshakaimu vya kutosha
Mambo ya 24hour economy huku kenya yalianza na serikali ya kibaki tangu 2007 Clearing Firms Excited by News of 24-Hour Mombasa Port Operations :: Uganda Radio NetworkSo unafikiri huku tafanya chini ya 24hrs. Kama maelezo yanavyosema, kazi zitafanyika usiku na mchana (24hrs) na mkandarasi (constructor) amesha weka saini na kukubali. Sio kwenye SGR tuu hata bomba la mafuta la Uganda ni hivyo hivyo, bandari ya dar wanafaya 24hrs.
Rais Magufuli amezitaka TBS, TFDA na TRA kufanya kazi masaa 24 bandarini
Kweli kabisa namuona ni mpambanaji sana mkuu, wangempaa ukurugenzi kamili tuMasanja Kadogosa yuko vizuri ni mmoja wa vijana wanaowakilisha vyema vijana wengine kwenye awamu hii ya Tano, wanafanya kazi zinaonekana, akaze zaidi tuone mafanikio ya hii kazi!
Ni front page maana hakuna project kubwa kama rali Kenya au EA imesha wahi kujengwa 24hrs. Mbali na yote hayo, reli yetu ni ndefu lakini itachukuwa nusu ya muda kuisha.Mambo ya 24hour economy huku kenya yalianza na serikali ya kibaki tangu 2007 Clearing Firms Excited by News of 24-Hour Mombasa Port Operations :: Uganda Radio Network
si mara yangu ya kwanza kuona project zikifanywa mchana na usiku sikuhizi ni jambo la kawaida sana! ndio maana hata sikuhizi kuna kazi zengine muhimu zimeanza kulipa wafanyikazi kulingana na masaa badala ya kulingana na siku... nashangaa eti mumeifanya hii story kama front page news
Subiri ikikaribia kukamilika alafu ndo uje upige kifua.....Ni front page maana hakuna project kubwa kama rali Kenya au EA imesha wahi kujengwa 24hrs. Mbali na yote hayo, reli yetu ni ndefu lakini itachukuwa nusu ya muda kuisha.
Waambie kwanza hao wakenya wa gazeti la The standard hukomkenya, kwamba kwani anaacha kuandika habari hizi wakati sasa hivimkuna habari nyingi sana na muhimu kuhusu Kenya wakenyanwangependa kusikia, hili la nusu bei kulinganisha na Diesel engine old model, slower and ugly, habari hiyo inawasaidia nini wakenya mpaka aiweke front page?, huku Tanzania sijawahi kuona gazeti likiandika kwamba, Kenya SGR, is diesel engine, low capacity, jointed railway, not full automatic ,using old technology, slower, ugly and shorter than Tanzanian, but is twice expensive, sijaona huku wakiandika hivyo, kama wewe umeona gazeti lolote la Tanzania lililoandika hivyo uniambieHaya ya kudai kwamba mumetengeneza kwa nusu ya gharama yetu yashakua kama wimbo wa taifa kwenu, badala mkomae kutengeneza reli, mnatumia nguvu nyingi kuwapotosha Watanzania kwa kulinganisha gharama za reli zetu, wakati mkijua mnatumia uwongo.
Mimi nashauri, mfanye kazi tu, reli ianze kuonekana na hapo mtaungwa mkono na hao Watanzania, hizi propaganda za kudanganya kwamba reli yenu gharama yake ni nafuu nina uhakika Watanzania wengi hawana muda na hayo, wao wanataka kutumia huo usafiri mpya.