Tanzania SGR inajengwa Usiku na Mchana.

Kenya wameshajenga reli yao zamani acha wapige siasa,lakini KATIBA WANAHESHIMU na wanaheshimiana.
Fatilia vizuri utajua tofauti ya hiyo waliyojengewa na mchina na hii ya Tanzania inayojengwa na Mzungu kuanzia gharama na Ubora. ..mzgo wao umeanza kua white Elephant. ..upgaji na siasa vilitawala mradi wa Kenya
 
Reli yetu haijajengwa,iweje tuifananishe na ya kenya inayofanya kaz?Tusubiri kwanza.
Bagamoyo road ile pale from Mwemge to tegeta haina hata miaka 10 leo imeumuka
 
Isiishie njiani akija mwingine imekwama kama ilivyotokea kwa Bandai ya kisasa kubwa kuliko zote Africa ya bagamoyo sijaisikia tena tangu aje huyo
 
Wewe umemjulia wapi?

Uliambiwa kuwa yeye ni malaika kwamba sio binadamu ambaye anaweza kuwa na ndugu au marafiki au watu anaofahamiana nao nje ya nchi yenu.
Jifunze kitu kinaitwa networking kwenye ulimwengu wa biashara na uwekezaji, sio kukaa hapo kitaa ukiwaza jinsi utatoka.
 
Go to the point tunazungumzua SRG mambo ya barabara ata Kenya zmeumuka kuliko Bongo ..hzo zilijengwa kwenye awamu watu wanayoisfia cz walkua wanavuta deal bila kulipa kodi tuongelee mirad ya awamu ya 5
Reli yetu haijajengwa,iweje tuifananishe na ya kenya inayofanya kaz?Tusubiri kwanza.
Bagamoyo road ile pale from Mwemge to tegeta haina hata miaka 10 leo imeumuka
 
Isiishie njiani akija mwingine imekwama kama ilivyotokea kwa Bandai ya kisasa kubwa kuliko zote Africa ya bagamoyo sijaisikia tena tangu aje huyo
Mkataba wa hiyo bandari una walakini sana kwanza una kipengele kinachosema kua bandari za Dsm na nyngnezo haztaruhusiwa kupanuliwa au kuboreshwa katika kipindi cha miaka flan ambacho Bandari ya Bagamoyo itakua inafanya kazi lakin pia kulkua na makando kando kibao
 
Go to the point tunazungumzua SRG mambo ya barabara ata Kenya zmeumuka kuliko Bongo ..hzo zilijengwa kwenye awamu watu wanayoisfia cz walkua wanavuta deal bila kulipa kodi tuongelee mirad ya awamu ya 5
Swali kwako:Niambie iliko SRG ya Tanzania....
Usiwe na akili kama umezaliwa Chattle
 
Swali kwako:Niambie iliko SRG ya Tanzania....
Usiwe na akili kama umezaliwa Chattle
SGR ya Tanzania Mkandarasi ndio yupo site na ela yote ipo ya kazi what's the problem kwan...kuna maeneo maalum kwa akili na yasiyo na akili dunian?
Tanzania tuna safari ndefu sana siamin kama Watanzania ndio wanaomba Mungu Reli yetu ikwame cz kwa maoni yako ata mtoto mdogo anajua unaomba Mungu ujenzi wa Reli yetu ya SGR isifanikiwe lakini Mwenyenzi Mungu si Binadamu mpaka 2020 watu watakua wanaenda Moro kwa tren ya umeme 2hrs..pia itapunguza foleni na uharibifu wa barabara
 
iT
Hadi mlete picha za zege ikikorogwa, hayo mengine yatabaki kuwa stori, nakumbuka mlituzungusha sana na mapicha ya kihivi ya kuonyesha sura kipindi kile cha bandari ya Bagamoyo.

Halafu SGR yenu gharama yake sio nusu ya Kenya, haya tuliyajadili huku kwa kina na mahesabu yakadadavuliwa balaa, lakini kwa jinsi huwa mlivyo, mkikaririshwa huwa hamuachi.

Tunawapongeza sana wenzetu wa Kenya kwa kutangulia, mmetuonesha njia kwenye SGR na sisi ndugu zenu tunafuata, tupo slow kuliko ninyi lakini tutafika tu. However, we have to keep in mind that the most important thing is not only the SGR but the type of SGR in terms of cargo carrying capacity, speed, cost as well as type of energy used to run locomotives and the negative impact of the energy used to the environment/society. Sina uhakika kwakuwa sijafanya utafiti ila nimesikia kuwa SGR yenu Wakenya kuwa ni ya kizamani kwa maana kuwa inatumia diesel kitu ambacho kimepitwa na wakati, maximum speed ni 90km/hr, uwezo wake wa kubeba mzigo ni mdogo na gharama yake ni zadi ya SGR inayoendeshwa na umeme, hivyo vyote ni opposite to theone that TZ is constructing. Vipi ndugu yangu mpendwa umeshawahi kufanya utafiti juu ya hili na kupata majibu kuwa ni kweli au si kweli, tueleze basi tuelewe. Asente jirani.
 
Nia ya serikali ni nzuri sana, pongezi; lakini wizara hii itatumia fedha zaidi ya 100% ya bajeti yake na matokeo yake ni baadhi ya wizara kukosa fedha na huduma nyingi za kijamii kuzorota. Ni bora kwenda taratibu lakini kwa usahihi na siku zote, "polepole ndio mwendo, haraka haraka haina baraka, mwenda pole hajikwai". Awamu hii inapenda kweli mbio!
 
72ea146f5ad6ab6e783182e1ccfd6c02.jpg
 
Back
Top Bottom