REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
- Thread starter
- #81
Tazara (Mbeya 1960 technology)Bridge yenu kama ni hilo linakaa vizuri kabisa..pongezi kwa designers.kandarasi imetiwa saini juzi ma tayari kuna render, sijui ilichorwa lini na nani...
Anyway, kama ulivyosema kwa Nada, Tanzania bridges vs Kenya bridges, ulilo onyesha ni daraja moja tu ambalo limewrkwa suspension kwasababu barabara ya leni nne inapita na chini, kenya kuna Mahali barabara ya leni sita inapita chini ya sgr lakini hakukua na haja ya kuweka bridge ya aina hio..
View attachment 601125
Alafu hio picha ulioeka hilo si daraja la Nairobi national park, kuna kesi inaendelea kotini mpaka iishe ndo daraja la NNP lijengwe, daraja hilo litakaa maka floating tunnel
View attachment 601132
Alafu pia upande wa northern coriddor kutakua na suspesiin bridge... Kama hio hapa itakengwa phase 3C Malaba-Kampala
View attachment 601135

