Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,806
- 4,671
Sisi ambao jamii zetu zimepakana na migodi mikubwa ya dhahabu hizi story zimetuacha maskini mpaka leo.Huu sasa ndio mradi wa kweli wa maendeleo ya kweli wenye impact ya kweli kwenye uchumi wa nchi yetu kwasababu mradi huu ni mradi wa FDI, doleri bilioni 30 sawa na Trillion 70 za madafu, zinaletea kutoka nje zinakuwa injected ndani ya nchi yetu!, hii sio kitu ndogo!.
Japo bado hatujajua contents za huo mkataba, but definitely ule wasiwasi wangu kuhusu Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe! unakwenda kutokea!. Kuna kitu nilikisema hapo kuwa Tanzania tusipokuwa makini, kinakwenda kutokea, kwa ya juu juu niliyo sikia, nilichohofia kisitokee, ndicho kinakwenda kutokea!.
All and all, tumefika mahali lazima tukubali matokeo...
Pia Waziri wa Nishati, Mhe January Makamba, hili amelizungumza vizuri hapa
P
We have been robed in a day light...mkataba uliokwama kwa miaka mitano umewezekana ndani ya mwaka...means tumeamua ku compromise, km tume compromise ina maana gani?tuambiwe tulicho compromise na kufanya mazungumzo yaendelee...