Tanzania iilipe Zanzibar kwa kuitumia ghuba yake bure

Hii ndio dhamira ya thread hii kukujuza tu ujue vipi kuwa Tanganyika haina bahari. Ukisimama ufukwen i pale Forodhani Dar ukitia mguu kwenye maji ya bahari basi ujue umekanyaga amamlaka ya Zanzibar

Kwa hiyo, coco beach na coco mihogo zipo Zeanzibari???
We jamaa bure kabjsa, yaani bahari imepita miguuni petu afu unataka kutufanya kuwa landlocked??
 
Wanzanzibar bana, visiwa vyenyewe kwenye map havionekani bila lens tena u zoom haswa afu mnataka mjimilikishe bahari yote, hivi huwa mbawaza nini?
 
Mbona nyie hamlipi kodi za makazi bara... Mmejazana kuanzia dar mpaka njombe ndani ndani huko
 
Jifurahishe, Zanzibar ni nchi na ina mipaka yake na iko ndani ya Katiba ya Zanzibar. sehemu moja inasema " Mmipaka ya Zanzibar ni eneo lote liliokuwa Jamhuri ya watu wa Zanzibar kabla ya muungano"
shehe wangu unakumbuka issue ya ziwa nyasa pale malawi aliposema ziwa lote ni la malawi ilikuwaje tofauti ya ulichokisema hapa na issue ya malawi ni ipi
 
Wewe vp kwn vitu tunavochukua bara tunachukua bure? Na jamb la mapato ya znz wazanzibar hatutalikalia kichama . Zanzibar ni lazm ilipwe . Mm ni CCM lkn ktk mmbo ya znz lazm kieleweke
hivi unajua hasara Tanganyika imepata katika kumuweka shein madarakani hizo hasara mtalipaje lipeni kwanza madeni yote mnayodaiwa ndipo mudai talaka
 
Zanzibar haina ghuba yake; kwa sababu siyo nchi. Wakitaka wawe na ghuba yake na waongozwe na sheria za majini watoke kwenye Muungano kwanza. Sasa hivi Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri moja - ya Muungano wa Tanzania.

Amekwenda hatua moja mbele, alipaswa kupigania hadhi ya nchi ya Zanzibar kwanza Kabla ya kudai stahiki inayotolewa kwa nchi.
 
Mk
Sadaqta, mkoa unaotoa mawaziri, makamo wa rais, mabalozi wabunge 54 Duh, mkoa huu sijui watuwake wana akil za ajabu namna gani. Kuweza kuwahadaa watu milioni 49!
Mkuu, samahani kwani ukweli ni mchungu.
Zanzibar ni koloni letu sisi Watanganyika. Ni kwamba tu hatujaona sababu ya kumweka gavana kwa sasa ili a tu wakilishe, na hii ni sababu vibaraka wetu huko mnawaheshimu na siku mkiwadharau ndio mtakijua ni nani alimtoa kanga manyoya!?
 
Ninachokijua mimi na nina uthibitisho wa uhakikawa historia,kuwa Tanganyika ilikuwa koloni la ZANZIBAR kwa dahari na baadae Tanganyika ikauzwa kwa Mjerumani na Zanzibar kubakisha ukanda wa pwani, pamoja na Ghuba yake! Mtwana hawezi kuwa bwana, ni kujizingua tu na hamjiamini!
 
Amekwenda hatua moja mbele, alipaswa kupigania hadhi ya nchi ya Zanzibar kwanza Kabla ya kudai stahiki inayotolewa kwa nchi.
Zanzibar kuwa ni nchi hili halina mjadala na imo kwenye katiba ya Zanzibar ya 1984 iliofanyiwa merikebisho 2010.
 
hivi unajua hasara Tanganyika imepata katika kumuweka shein madarakani hizo hasara mtalipaje lipeni kwanza madeni yote mnayodaiwa ndipo mudai talaka
Tutalipaje hasara wakati tukijua kuwa faida imepatikana kwa kumuweka Shein madarakani? Moja nikukupeni mdomo wa kuongea hata utumbo kuhusu Zanzibar!
 
Mkuu labda nikusaidie kidogo. Hakuna malipo yoyote ambayo meli zinalipa kwa kupita kwenye Ghuba ya nchi yoyote.
Case ya Misri ni tofauti kabisa (sababu ule ni mfereji waliochimba wao wenyewe. Kumbuka hapakuwa na bahari eneo hilo. Kwa hiyo usichanganye mada. Meli iko entitle kulipa surcharges kama itafunga kwenye bandari ya nchi husika. Lakini siyo kupita tu. eneo la zanzibar unalolisema wewe ni international navigable waters na meli yoyote ya nchi yoyote iko eligible kupita.
umejibu vema sana aisee
 
shehe wangu unakumbuka issue ya ziwa nyasa pale malawi aliposema ziwa lote ni la malawi ilikuwaje tofauti ya ulichokisema hapa na issue ya malawi ni ipi
Kwani unafikiri hawajui, ni ubishi tu. Mtwala wa Malawi na Zanzibar alikuwa mmoja na ndio alitoa uhuru, kwa taratibu, hekima na sheria zilezile. Tanganyika ilinyimwa haki ya kumiliki ziwa nyasa pamoja na bahari ya Zanzibar.
 
Mbona nyie hamlipi kodi za makazi bara... Mmejazana kuanzia dar mpaka njombe ndani ndani huko
Wazanzibari wako kila pahali duniani; UK, Canada, Dubai, Oman, Denmark. Norway Sweden, tena kwa maelfu na makundi madogo kule USA, Germany. tena kule UK hata madrasa za nguvu wamefungua , Leicester , Portsmouth. Fedha wanazoingiza Zanzibar ( zinamezwa na mbenki ya bara) zingechangia uchumi kwa kiasi kikubwa.
 
Ninachokijua mimi na nina uthibitisho wa uhakikawa historia,kuwa Tanganyika ilikuwa koloni la ZANZIBAR kwa dahari na baadae Tanganyika ikauzwa kwa Mjerumani na Zanzibar kubakisha ukanda wa pwani, pamoja na Ghuba yake! Mtwana hawezi kuwa bwana, ni kujizingua tu na hamjiamini!
Kahawa sidhani kama inaweza kukufanya hivyo...labda niulize ni kashata zipi unazotumia?
 
Wanzanzibar bana, visiwa vyenyewe kwenye map havionekani bila lens tena u zoom haswa afu mnataka mjimilikishe bahari yote, hivi huwa mbawaza nini?
Zanzibar ilikuwa Dola ( empire) kubwa na mtawala wa Tanganyika pamoja na nchi za maziwa makuu pamoja na udogo wake Hata Gavana wa ubeligiji kwa nchi za Congo, Angola na Afrika ya kati alikuwa mzanzibari
 
Back
Top Bottom