Tanzania iilipe Zanzibar kwa kuitumia ghuba yake bure

Sadaqta, mkoa unaotoa mawaziri, makamo wa rais, mabalozi wabunge 54 Duh, mkoa huu sijui watuwake wana akil za ajabu namna gani. Kuweza kuwahadaa watu milioni 49!

Wanajaribu kuimeza Zanzibar lakini Zanzibar haimezeki wala haitawaliki kimabavu!! Angaliweza Mreno aliekuwa katili na mwenye roho mbaya kama wao
 
Posho wanazo chukua wabunge wenu pale Dodoma zinatosha sababu hawafanyi kazi yoyote. Sana sana ilibidi wawepo pale yanapo jadiliwa mambo ya muungano tu.
Una maana wabunge wa CCM? kwa hilo no comment, lakini kama una maana ya wabunge wa wananchi kutoka Zanzibar uwepo wao unaonekana na wa maana
 
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania, hivyo unaposema Tanzania iilipe Zanzibar ni karibu sawa na kusema Zanzibar ijilipe yenyewe. Labda ubadilishe jina Tanzania.
Ndio maana aliekuwa Waziri wa ujena nishati Zanzibar Mhe Mabsour Yussuf Himid alipowaita bara " wezi, mnatuibia mchana!"
 
Wewe vp kwn vitu tunavochukua bara tunachukua bure? Na jamb la mapato ya znz wazanzibar hatutalikalia kichama . Zanzibar ni lazm ilipwe . Mm ni CCM lkn ktk mmbo ya znz lazm kieleweke
 
Eti ilo litawezekn km wazanzibar wanaokaa bure bara watalipia ardhi . Kwn huku hakuna wabara wanao kaa bure ktk ardhi ya zanzbr ?
 
Kuna majitu yanajitoa ufahamu yanapinga hatua anazochukua Rais wetu
Hata hivyo uzuri ni kuwa Yapo machache, hivyo hayawezi kumrudisha nyuma mtetezi wetu
Go magufuli go
Tanzania mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tuijenge sote
 
Zanzibar si mkoa tu wa Tanganyika. Au hukumuona "rais" wenu akiapishwa kiwa waziri wa Tanganyika juzi.
LISSU: - "Kwa maoni yetu, Mheshimiwa Spika, katika mazingira haya, tatizo la msingi la Zanzibar sio Jecha Salim Jecha wala ZEC wala Ali Mohamed Shein. Hawa ni vibaraka tu wasiokuwa na nguvu wala uhalali wowote. Bila nguvu ya Tanganyika vibaraka hawa hawawezi kudumu madarakani kwa muda mrefu. Tatizo la msingi ni ukoloni wa Tanganyika kwa Zanzibar ambao umevikwa joho la Muungano. Bila kulivua joho hili na kushona lingine badala yake, Zanzibar haitakuwa huru na itaendelea kutawaliwa na Tanganyika kisiasa, kiuchumi na kijeshi".
 
Zanzibar ni kajimbo ketu Mura kama Crimea kalivyokuwa kajimbo ka Urusi sasa tutajilipaje wenyewe?
 
Nakuheshimu, vyenginevyo ningekwambia urudi shule ya ngumbaru. Si maritime tu hata ndege inayopita kwenye anga ya nchi husika tu inalazimika kulipa kwenye Mamalaka husika kama " navigational charges" Kuitwa Ghuba tu ujue kunamaanisha kuwa eneo hilo limetengenezwa na kufanyiwa( survey, light houses, navigational services

Hakuna kitu kinachoitwa international navigable waters lakini kuna international waters, ambazo sehemu hizo meli zinapita bila kulipa nchi yoyote. Na hata ndege ikitaka kuepuka gharama za navigational charges zinalazimika kupita kwenye Intenational air space routes, ambazo zinaongeza gharama za uendeshaji kutokana na mzunguko/ umbali
Asante kwa kuijua maritime vizuri. Lakini ngoja nikukumbushe tu kidogo kuwa nimetumia term International Navigable waters nikiwa na maana kuwa kuna sehemu zingine baharini siyo nevigable (Restricted areas) ambazo hata ilo eneo likiwa kwenye international waters, bado it is not safe for navigation. Ndio maana hata kwenye chart zinakuwa mark .
Labda nitoa ushamba, unaposema ghuba una maana gani?
Mimi nadhani Ghuba ndo Peninsula /Gulf? Ungeniconvince kama ungetumia neno channel Lakini siyo kutumia term ambayo inapotosha maana ya kile ulichotaka kusema. Nadhani unashindwa kutofauti bay, gulf and channel.
 
Wewe vp kwn vitu tunavochukua bara tunachukua bure? Na jamb la mapato ya znz wazanzibar hatutalikalia kichama . Zanzibar ni lazm ilipwe . Mm ni CCM lkn ktk mmbo ya znz lazm kieleweke
Miaka 50 imeshindikana ndo mlipwe sahv. Viongozi wako wa ccm ndio ma architect wa huu muungano na wako tayari kuulinda kuliko maisha yao leo unasema tuwalipe. Huu muungano ni kama pingu unavyo tapatapa kuinasua ndio ina bana zaidi. Mark my words and trust me. Ni swala la muda tu kupatikana raisi huko zanzibar ambaye atifanya kuwa mkoa kwa kusaini hati mpya ya kuwa na serikali moja. Hujiulizi miaka yote hiyo raisi wenu anateuliwa na halmashauri kuu ya ccm dodoma ikiwa ma wajumbe zaid ya asilimia 80 kutoka bara. U had to think of this first b4 kuja na hii thread. Mkiweza ikiwa mtaweza kuhakikisha mnapata rais wenu wenyewe angalau matumaini kiduchu ya kupata uhuru mtakuwa nayo
 
MFAIDIKA ZAIDI NI TANGANYIKA NA TUNACHOKIPATA KUTOKA KWENU NI HAKI YETU KWA VILE CHIMBUKO NI MALI ZETU MLIO ZIKUMBATIA KWA UBABE

Nenda Oman ukanywe kahawa, kwanz asi hukupiga kura ulisusa, suseni na nchi muondoke.
 
Nakuheshimu, vyenginevyo ningekwambia urudi shule ya ngumbaru. Si maritime tu hata ndege inayopita kwenye anga ya nchi husika tu inalazimika kulipa kwenye Mamalaka husika kama " navigational charges" Kuitwa Ghuba tu ujue kunamaanisha kuwa eneo hilo limetengenezwa na kufanyiwa( survey, light houses, navigational services

Hakuna kitu kinachoitwa international navigable waters lakini kuna international waters, ambazo sehemu hizo meli zinapita bila kulipa nchi yoyote. Na hata ndege ikitaka kuepuka gharama za navigational charges zinalazimika kupita kwenye Intenational air space routes, ambazo zinaongeza gharama za uendeshaji kutokana na mzunguko/ umbali

Unabwabwabja tu hapa, ndivyo mnavyoambiana huko na wenzako. Piga kelele ukalale, hii ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Ewe hizbu Mipaka ya kimataifa hugawanywa... huwezi miliki beach ya mwenzako and pia huwa kuna sehemu inakuwa ni International water anyone can pass
 
Kipindi kirefu kilichopita ima kwa makusudi au kutokujua Tanzania bara inaitumia Ghuba ya Zanzibar kupiitisha meli kujikusanyia fedha kutokana na mapato ya (martime) kwa bandari zake za Tanga na Dar es salaam

Ghuba ya Zanzibar ( Zanzibar channel) ni ukanda wenye urefu wa Km 120 na Upana wa Km 40, Mpaka ulioitenganisha bara na Zanzibar, na Ghuba ipo salama kwa kuwa eneo lote limekuwa "navigated" kazi ilioigharimu Zanzibar fedha nyingi sana

Mlango wa Kuingia kwenye ghuba kwa kaskazini kuna anzia bahari ya Kenya (Mombasa strip iliopewa Kenya na Waingereza na Zanzibar kulipwa fidia) na kwa kusini mlango wa ghuba una anzia Ras Kanzi Km 22 kusini mwa Dar es salaam.

Juzi Nahodha alipokuwa anachangia hotuba ya bajeti alionekana kiroja pale alipotaka mgawanyo wa mapato ya Muungano kati ya SMT na SMZ ueleweke

Taifa la Misri linafaidika sana na mapato yatokanayo na ghuba yao, kwanini isiwe na Zanzibar.Tudai malimbikizo za fedha zetu kama vile tunavyodai za BoT na manyanyaso sasa yakome!
Nini maana ya Mapinduzi? basi kama Mapinduzi ilikuwa ni kumuondosha Mwarabu kwa udhurumati wake basi bara nayo ilifanya mapinduzi na kupata pwani yake...

Hapa utaandika vithread vya kufa mtu ila ukweli utabaki ule ule mgawanyo wa bahari unabakia half hafl... kama inakuuma mrejesheheni Sultan nchi yake... maana mlimuibia....


Siamini kama mliweza kumkimbiza wakati kubonyeza keybord tu ya komputer kwenu yanatia shaka... nadhani mlisaidiwa 100% na Watanganyika...
 
Back
Top Bottom