Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,724
- 241,824
Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu
Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
Hata yule aliyekuwa Boss wa Wizara ya Fedha Bw. Leopold Lwajabe aliyetekwa Dsm na baadaye tulitangaziwa na Jeshi la Polisi kwamba maiti yake 'iliokotwa msituni' huko huko Mkuranga. Suala hili linahitaji mjadala wa kina na utafiti wa kina kabisa.
Kumbuka: Hata yule Mwandishi wa Habari Bw. Azory Gwanda zipo taarifa kwamba alitekwa na 'watu wasiojulikana' akiwa huko huko Mkuranga zilikotangazwa hizi nafasi za kuzika Watu wasio na ndugu.Yaani hapa kosa ni kutangaza tuu hii nafasi??
Mbona hizi kazi zipo miaka mingi na sidhani kama kuna mtanzania hadaway kusikia kuna watu wanazikwa na manispaa au halmashauri ya mji.
Kuna mambo wakati mwingine huwa mnajiaibisha sana tuu, watu kutekwa imekuwa ni suala la kisiasa zaidi kwa hizi trend mnazoleta humu.
Yaani hapa kosa ni kutangaza tuu hii nafasi??
Mbona hizi kazi zipo miaka mingi na sidhani kama kuna mtanzania hadaway kusikia kuna watu wanazikwa na manispaa au halmashauri ya mji.
Kuna mambo wakati mwingine huwa mnajiaibisha sana tuu, watu kutekwa imekuwa ni suala la kisiasa zaidi kwa hizi trend mnazoleta humu.
Mdomo huu ngoja kilanga kikome apa🌝
Intelejensia yetu inafanya kazi for the sake of politicians tuHata yule aliyekuwa Boss wa Wizara ya Fedha Bw. Leopold Lwajabe aliyetekwa Dsm na baadaye tulitangaziwa na Jeshi la Polisi kwamba maiti yake 'iliokotwa msituni' huko huko Mkuranga. Suala hili linahitaji mjadala wa kina na utafiti wa kina kabisa.
Hata yule aliyekuwa Boss wa Wizara ya Fedha Bw. Leopold Lwajabe aliyetekwa Dsm na baadaye tulitangaziwa na Jeshi la Polisi kwamba maiti yake 'iliokotwa msituni' huko huko Mkuranga. Suala hili linahitaji mjadala wa kina na utafiti wa kina kabisa.
Kwa lisaa hiyo mtaalam au?! 🤔🤔🤔Kuna mchongo wa kuosha/kuandaa maiti huko ng'ambo. Dola 2,500 per month.
Kwa mwezi hiyoKwa lisaa hiyo mtaalam au?! 🤔🤔🤔