Don't trust a politician even a dead oneAisee waongo sana watu. Kumbe hana ghorofa Dodoma wala kibanda Dar!
Mbona mnamtaja sana lowasa kwani dau nani dada wewe? Ni ukweli mdini kwanini asisemwemzee mbona unachuki sana na Dau , maana ukimtaja lazima utaje dini yake, je Uislam ndio tafsiri ya udini Tanzania?
Kwani mkwanja wake analipwa na wanakigoma au bunge?Leo nimepata elimu kupitia hii fomu ya bwana Zito. kumbe wakati wa kampeni huwa tunadanganywa sana!! mimi nilifikiri mwajiri wa bwana Zito ni wananchi wa jimbo la kigoma mjini kumbe ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!!!!! kwa hiyo ina maana wabunge wasipochaguliwa huyu mwajiri " Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" atakuwepo tu.
embu niletee post yoyote nilowahi mtaja lowasa hapa...acha ukenge ....lete hoja zenye tija kwa NchiMbona mnamtaja sana lowasa kwani dau nani dada wewe? Ni ukweli mdini kwanini asisemwe
Kwann anavyogombeaa anakuwa na hela mpaka kupitaaa,,,kila nikiona hayo mafigur ya hela namuwazia wasirra kias alichonachoukimuona mtu anagombea ubunge usithubutu kumuwekea vikwazo kaa naye mbali atakutoa uhai.
Nimepitia vizuri sana taarifa yako Mh. Zitto na nimejifunza vitu vingi sana na natumai si mimi tuu bali watanzania tulio wengi na nazani umetoa majibu mengi na muhimu juu ya shutuma za serikali ya hawamu ya 5,,me binafsi nimejifunza yafuatayo,,
1)Ukiangalia kwenye fomu za Mh. mshaara wa mbunge kwa sasa ni 99,500,000/= kwa mwaka so ukigawa mara 12= 8,291,666.667/= kwa mwezi,,
SWALI 1:
je kwa kipindi icho cha miezi 12, mbunge anafanya kazi miezi ngapi?
SWALI2:
Kwa ninavyofahamu me,bunge lina vikao viwili 2 au 3 na jumla ya muda wa vikao vyote havizidi miezi 6,sasa iweje walipwe mshaara wa mwaka mzima wakati hawaishi majimboni mwao,,wote wapo Dar so hizo kazi wanafanya saa ngapi na wapi?
Nna rafiki/ndugu yangu,,alikuwa mwalimu wa sekondari wakati ana Masters ya MPA,,sasa amekuwa promoted so ni ass. lecturer chuoni fulani,,wakati mwl alikuwa analipwa mshaara wa 240,000/= kwa mwezi,,
SWALI3:
sasa najiuliza kati ya mbunge na mwalimu na mtu muhimu?Kwa hesabu za haraka mshaara wa Mh. ni 8,291,666.667/= wakati wa mwalimu ni 240,000/=. Kwa maana iyo mshaara wa mbunge 1 ni sawa na mishaara ya walimu (8,291,666.667/240,000)=34.
SWALI 4:
Kwa maelezo ya swali la 3,,je elimu itafikia mahali ambapo tunataka ifike kwa walimu kujituma,,kuwa wabunifu na kufanya kazi kwa moyo?
NILICHOJIFUNZA:
1)WATANZANIA TUACHE KULALAMIKA NA KULAUMU KUPITA KIASI KWA KUWA NCHI ILIFIKA MAHALI PABAYA SANA NA MASKINI TULISHASEMA BASI NA OGOPA SANA MASKINI AKISEMA BASI KWANI ATAKUWA TAYARI KWA LOLOTE.
IVYO TUMWACHE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA USAWA NA KUONDOA MATABAKA.