Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo

Akili zako ndogo sana

Akili zako ndogo sana. Nssf wanakopesha wanachama wao. Hata mbowe amekopa lapf tena 3bilions.
Akili zako kubwa lakini zimeshindwa kutambua kitu kidogo sana kwamba Zitto alipoandika kuwa kakopa NSSF imetosha kumuelewesha kila mmoja kuwa NSSF ndo wakopwaji hivyo wamekopesha, sijaelewa unachofafanua wewe mke wa Lizabon.
 
husibishe km huna evidence mkuu,,uyo ndg yangu alikuwa anafundisha kusini mwaka 2013/2014 na mshaara wake ulikuwa not more than 240,000/=

Hapana siyo kweli, mimi kipindi hicho nilikuwa field halmashauri fulani tena idara ya utumishi. Degree alikuwa analipwa 580,000 na ushahidi wote ninao.
 
Bado huyu jamaa huwa namwona shujaa sana kwangu, ni mwanasiasa anaetaka kutupeleka mbali alipo ss itawachukua wanasiasa wengi muda mrefu kufika. Huyu ndio mwanasiasa bora zaidi wa Afrika . Viva Z.Z. Kabwe.
 
Yaani unaona mkopo wa mil 500 ni mkubwa kwa Mbunge..tena mbunge mwenye akili kama Zitto?? umiliki wa 50% ya surveyed plots 34, shamba la kahawa, umiliki wa housing estate..bado unahisi mapato yake hayawezi kulipa uto tumilioni 500??

Mkuu, kuwa serious kidogo basi..wabongo tukiwa na nyumba yenye thamani ya tshs 70 milioni tu tunakopa benki mil 200, sasa zitto ana nyumba mbili ambazo sihitaji kujua hata thamani yake bado unashtuka yeye kudaiwa mil 500, me nlitegemea angekuwa anadaiwa 2 bils huko.

Wewe ndio uache mzaha
Angalia kuanzia mwanzo wa taarifa yake hadi mwisho mapato yake hutokana na ajira +mikopo hakuna hata sehemu moja ameonesha ana mapato ya biashara au kilimo.

Mkopo aliouchukua unazidi pato lake kwa miaka 4 iliyobaki (mishahara ya miaka 4).

Umesema hawezi kishindwa kulipa kwa kuwa anamiliki majumba,sawa.kwa hiyo unadhani Zitto atakopa ili auze lasilimali zake kulipia mkopo ?? Hapo ndipo napata wasiwasi na kohofiia kuwa Zitto atakuwa na vyanzo vingine vya mapato ambavyo hajaviainisha kwwnye taarifa yake.
 
Wanasiasa hapa Tanzania ndio MATAJIRI wakubwa. Mwanasiara yoyote kwenye ngazi ya UBUNGE akifanikiwa kukaa kwenye nafasi hiyo kwa miaka Ishirini hivi, Huyo atakuwa na UTAJIRI wa kutosha na sio mwenzako. Akijifanya anapenda wanyonge ni USANII mtupu!
 
Bado huyu jamaa huwa namwona shujaa sana kwangu, ni mwanasiasa anaetaka kutupeleka mbali alipo ss itawachukua wanasiasa wengi muda mrefu kufika. Huyu ndio mwanasiasa bora zaidi wa Afrika . Viva Z.Z. Kabwe.
Kweli kabisa,ZZK yupo vizuri sana
 
Yani michango yetu ya NSSF hawataki kutupa Bali wanakopeshana ndiyo maana huwezi kusikia mbunge anapigia kelele hii mifuko ya hifadhi ya jamii sababu wao mdio wanufaikaji wakubwa

Dah, mkuu hiki kipengele nilikisahau kabisa, ndo maana nikawa najiuliza hivi kweli hata ZZK hajalizungumza hili!

Wote utawala na upinzani lao moja, kutunyonya.
 
Dhamana ya hiyo mikopo ni nini?

Kuna mikopo aliyoipata kipindi cha ubunge 2010-2015 ambayo haikumalizika kulipwa baada ya kuachishwa ubunge mapema 2015.

Je malipo ya mikopo hiyo yalikuwaje katika kipindi hicho ambacho hakuwa mbunge? Maana nimeona amesema hana biashara yoyote zaidi ya mashamba na Ubunge.

Na ingetokea asishinde Ubunge 2015, hatma ya hiyo mikopo ingekuwa vipi?
 
Ndugu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa ibara ya 132(4) na (5) na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Sheria namba 13 ya mwaka 1995 inataka viongozi wote wa umma kujaza fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni. Tamko hilo huwasilishwa Sekretariat ya Maadili ya Viongozi kabla ya mwisho wa kila mwaka. Kama nifanyavyo siku zote, nawajulisha rasmi kwamba nimetimiza matakwa hayo ya katiba na sheria kuhusu Maadili ya Viongozi.

Inafahamika kuwa Chama Cha ACT Wazalendo, kwa mujibu wa Katiba yake na Azimio la Tabora, kimeelekeza kuwa Viongozi wake wote waweke wazi kwa Umma Tamko la Mali, Madeni na Maslahi. Kwa kufuata masharti ya Katiba ya Chama Cha ACT Wazalendo natangaza rasmi fomu zangu nilizowasilisha Leo Sekretariat ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Ni matumaini yangu kwamba itafikia wakati Daftari la Rasilimali na Madeni la Viongozi wa Umma litakuwa linawekwa wazi kwa Umma ili wananchi waweze kujua Mali, Madeni na Maslahi ya Viongozi wao na pale ambapo kiongozi ametoa habari zisizo sahihi au kuficha mwananchi aweze kutoa Taarifa kwenye Sekretariat na Baraza la Maadili liweze kufanya kazi yake ipsavyo.

Mfumo wa kuweka wazi Rasilimali na Madeni ya Viongozi wa Umma ni mfumo endelevu na muhimu kwenye vita vita dhidi ya ubadhirifu na ufisadi. Mataifa kadhaa duniani hutumia mfumo huu ( public disclosure of leaders’ assets and liabilities) kuwezesha mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi. Nchini Uingereza na Kanada kwa mfano, daftari la matamko ya Rasilimali na Madeni ya Viongozi lipo wazi kwa kila mwananchi kuona na huuzwa kwenye duka la vitabu la Bunge.

Namsihi Sana Rais John Pombe Magufuli kusaidia kufanya mabadiliko makubwa ya Sheria ya maadili ya Viongozi ili kurejesha na kuboresha Miiko ya Viongozi katika kuimarisha vita dhidi ya ufisadi nchini. Rais aliahidi kuweka wazi Mshahara wake alipokuwa anazungumza katika kipindi cha 360 cha Clouds TV. Ninamkumbusha afanye hivyo na pia aweke wazi Mali, Madeni na Maslahi yake ya Kibiashara ili awe mfano kwa Viongozi wengine Nchini.

Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto, Mb

Kigoma Mjini

30/12/2016
Huu ni mfano mzuri sana nakupongeza sana kwa hili na matarajio yetu na waheshimiwa wengine watafanya hivyo.
 
Mh. mjumbe kwangu binafsi najikuta kwenye mkanganyiko wa hali ya juu sana. Embu naomba msaada kidogo ikiwazekana Mh. Zitto. anieleweshe kidogo juu ya hili,
Ni haya maswala madogo ambayo mimi na akili zangu za konokono tumeshindwa kuyaelewa.
Mh. Zitto katika kujaza baadhi ya vipengele kwa mfano,
  • kwenye sehemu ya MAELEZO KAMILI (e) Nyumba na majengo ndani na nje ya nchi ya Tanzania. (Nyumba1;KIBINGO MWANDIGA;250,000,000; matumizi binafsi). Hivi hii nyumba si inawapangaji pale KIGOMA MJINI au ni nyingne? tena kuna benki fulani hivi nao wamepanga pale kama sikosei. Sasa Mh. unavyoniambia ni matumizi binafsi??? Duh haya....!!!
  • Pia tutizame SEHEMU YA TANO (f) Mashamba, Mifugo,na Madini ndani na nje ya nchi ya Tanzania. (Shamba la kahawa;Kigoma;20,000,000; matumizi binafsi). Nadhani Mh. hiki kitu kina furahisha kma sio kutuchekesha sisi mazerobrain. Hivi ni kweli shamba lenye thamani ya 20m ni kwa ajili ya wewe na familia yako?!!!!!
Nimeona hayotu nkashindwa kabisa kutoa suluhisho na juu ya lengo kuu la hii post. maana ukitizama pale mwanzo SEHEMU YA KWANZA; kipengele cha 7g. vyanzo vingine vya mapato. Mh. hakujaza kitu badala yake katia desh kumanisha hana vyanzo vingne mbali na mshahala wake.
Swali, kwamujibu wa kipengele (e) kwenye MAELEZO KAMILI muheshimiwa kahalalisha kupangisha ni matumizi binafsi ama anaimiliki ile benkii liyoko pale kwenye jengo lake kwa matumizi yake binafsi?
Je ni kweli Mh. umeamua kutudhihilishia kua wewe ni mtaalamu wa kukwepa kodi kwa kuhalalisha biashara kua matumizi binafisi? maana ukiachilia mbali kupangisha pia umetuambia unaumiliki wa shamba lenye zao la kibiashara tena lenye thamani kubwa kwa matumizi binafsi.
Hii inanyima raha sana Ndugu mjumbe maana Mh. Zitto ni moja ya watu nnao waheshimu sana kwangu. Muombe antoe huu ukungu huu ulio mbele ya macho yangu. Kama yeye katufanyia hivyo akina Mh........ watatufanyia vipi?
 
Hii posho ya 8.2m mbunge wa viti maalum nae inamuhusu.....??? Duuuuh, kwa muktadha huu n ngumu sana kudhibiti rushwa nyakati za uchaguzi manake huu n uwekezaji kama ulivyo uwekezaji mwngne wwote, 144m per yr is big amount aiseee
Sioni kazi ya hawa wabunge wa vitu maalum. vingetolewa tu
 
Mnamo tarehe 30 December 2016 Mh. Zitto alitoka hivi.

"Ndugu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa ibara ya 132(4) na (5) na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Sheria namba 13 ya mwaka 1995 inataka viongozi wote wa umma kujaza fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni. Tamko hilo huwasilishwa Sekretariat ya Maadili ya Viongozi kabla ya mwisho wa kila mwaka. Kama nifanyavyo siku zote, nawajulisha rasmi kwamba nimetimiza matakwa hayo ya katiba na sheria kuhusu Maadili ya Viongozi.

Inafahamika kuwa Chama Cha ACT Wazalendo, kwa mujibu wa Katiba yake na Azimio la Tabora, kimeelekeza kuwa Viongozi wake wote waweke wazi kwa Umma Tamko la Mali, Madeni na Maslahi. Kwa kufuata masharti ya Katiba ya Chama Cha ACT Wazalendo natangaza rasmi fomu zangu nilizowasilisha Leo Sekretariat ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Ni matumaini yangu kwamba itafikia wakati Daftari la Rasilimali na Madeni la Viongozi wa Umma litakuwa linawekwa wazi kwa Umma ili wananchi waweze kujua Mali, Madeni na Maslahi ya Viongozi wao na pale ambapo kiongozi ametoa habari zisizo sahihi au kuficha mwananchi aweze kutoa Taarifa kwenye Sekretariat na Baraza la Maadili liweze kufanya kazi yake ipsavyo.

Mfumo wa kuweka wazi Rasilimali na Madeni ya Viongozi wa Umma ni mfumo endelevu na muhimu kwenye vita vita dhidi ya ubadhirifu na ufisadi. Mataifa kadhaa duniani hutumia mfumo huu ( public disclosure of leaders’ assets and liabilities) kuwezesha mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi. Nchini Uingereza na Kanada kwa mfano, daftari la matamko ya Rasilimali na Madeni ya Viongozi lipo wazi kwa kila mwananchi kuona na huuzwa kwenye duka la vitabu la Bunge.

Namsihi Sana Rais John Pombe Magufuli kusaidia kufanya mabadiliko makubwa ya Sheria ya maadili ya Viongozi ili kurejesha na kuboresha Miiko ya Viongozi katika kuimarisha vita dhidi ya ufisadi nchini. Rais aliahidi kuweka wazi Mshahara wake alipokuwa anazungumza katika kipindi cha 360 cha Clouds TV. Ninamkumbusha afanye hivyo na pia aweke wazi Mali, Madeni na Maslahi yake ya Kibiashara ili awe mfano kwa Viongozi wengine Nchini.

Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto, Mb

Kigoma Mjini

30/12/2016

1-af161cfa90-jpg.452051
2-f3f85a576d-jpg.452052
3-1d85ee0a22-jpg.452053
4-f772c47dbe-jpg.452054
5-0acb6fb859-jpg.452055
6-010b8125f3-jpg.452056
6-66afd5d8c1-jpg.452057
7-33d245178f-jpg.452058
7-4775142896-jpg.452059
8-8054ca674a-jpg.452060
8-dfa4a5390a-jpg.452061
"

Ndugu wamjumbe kwangu binafsi najikuta kwenye mkanganyiko wa hali ya juu sana. Embu naomba msaada kidogo ikiwazekana Mh. Zitto. anieleweshe kidogo juu ya hili,
Ni haya maswala madogo ambayo mimi na akili zangu za konokono tumeshindwa kuyaelewa.

Mh. Zitto katika kujaza baadhi ya vipengele kwa mfano,
kwenye sehemu ya MAELEZO KAMILI (e) Nyumba na majengo ndani na nje ya nchi ya Tanzania. (Nyumba1;KIBINGO MWANDIGA;250,000,000; matumizi binafsi). Hivi hii nyumba si inawapangaji pale KIGOMA MJINI au ni nyingne? tena kuna benki fulani hivi nao wamepanga pale kama sikosei. Sasa Mh. unavyoniambia ni matumizi binafsi??? Duh haya....!!!
Pia tutizame SEHEMU YA TANO (f) Mashamba, Mifugo,na Madini ndani na nje ya nchi ya Tanzania. (Shamba la kahawa;Kigoma;20,000,000; matumizi binafsi). Nadhani Mh. hiki kitu kina furahisha kma sio kutuchekesha sisi mazerobrain. Hivi ni kweli shamba lenye thamani ya 20m ni kwa ajili ya wewe na familia yako?!!!!!
Nimeona hayotu nkashindwa kabisa kutoa suluhisho na juu ya lengo kuu la hii post. maana ukitizama pale mwanzo SEHEMU YA KWANZA; kipengele cha 7g. vyanzo vingine vya mapato. Mh. hakujaza kitu badala yake katia desh kumanisha hana vyanzo vingne mbali na mshahala wake.
maswali yanayoumiza kichwa,
  • kwamujibu wa kipengele (e) kwenye MAELEZO KAMILI muheshimiwa kahalalisha kupangisha ni matumizi binafsi ama anaimiliki ile benkii liyoko pale kwenye jengo lake kwa matumizi yake binafsi?
  • Je ni kweli Mh. umeamua kutudhihilishia kua wewe ni mtaalamu wa kukwepa kodi kwa kuhalalisha biashara kua matumizi binafisi? maana ukiachilia mbali kupangisha pia umetuambia unaumiliki wa shamba lenye zao la kibiashara tena lenye thamani kubwa kwa matumizi binafsi.
Hii inanyima raha sana Ndugu wajumbe maana Mh. Zitto ni moja ya watu nnao waheshimu sana, na anaeheshimika sana katika nyanja za siasa Kitaifa na Kimataifa pia. Muombe antoe huu ukungu huu ulio mbele ya macho yangu. Kama yeye katufanyia hivyo akina Mh(........) watatufanyia vipi, kama wewe mtetezi mkubwa umeamua kutuchezea nani kaona?
 
Back
Top Bottom