Tajiri Zackaria Hans poppe amerejea rasmi Simba

Nashukuru kunielewesha kwamba mnajifunza kutoka kwa marehemu!
 
mkuu naona unaweweseka na kukosa ubingwa kwa Mara ya tano,hizo habari za hirizi na uchawi SI ndo zenu,Leo hii umemsahau mchezaji wenu pape ndaw mlivonvalisha hirizi hadharani?pelekeni zile rambirambi za mafisango (rip) mambo yatanoga tu
 
Sema Mhaini Hanspope arejea Simba.
 
Mkuu samahani, huyu ndiye mwenye mabasi ya zackaria?
Huyu hana mabasi ana malori,alishiriki kula njama za kumpindua Nyerere na alifungwa maisha sema Mwinyi aliwasamehe mwaka 95_ jamaa ni mhaini,ni chotara la kitz na kijeruman.
 
Wewe mtu ni muongo sana.Zakharia Hanspope aliingia kwenye biashara baada ya kusamehewa na Mwinyi toka Gerezani baada ya kushiriki jaribio la kumpindua Nyerere.Alifungwa maisha pamoja na anko yangu Capt.Maganga rip,Kadego,Kajaja na McGhee rip.Waliachiwa 1995.mtaji alisaidiwa na ndugu zake walioko German na Canada.Huyu ni Chotara la kijeruman baba yake alikuwa RPC Kagera na ndo aliuwawa na majeshi ya Idd Amin,haka kajamaa kanadanganya hapa etu ni mhehe.Hanspope siyo mtu mzuri ni mhaini.
 

Sawa Mrs. Hanspoppe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…