GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,043
- 119,616
- Thread starter
- #41
Wewe jamaa kwa mikwara, ungekuwa nayo yakusema ungesema ulivyo mbea
Najua unataka niseme ili ' nikufaidishe ' ILA kwa kuujua umuhimu wa utulivu wa Klabu ya Simba SC siwezi nikasema hapa nini kitu gani isipokuwa nina uhakika kabisa kuwa wale ' Mashabiki ' wa Simba SC tuliokuwepo pale katika lile ' sekeseke ' siku ile Taifa tunajua ni nini Hanspoppe alitaka kumfanyia Kaburu.
Kwa kukusaidia kwakuwa nimeshakuona ni ' Mpuuzi ' fulani hivi kama una mawasilino na Watu hawa Watatu Aden Rage, Profesa Juma Kapuya na Zitto Kabwe watafute na waulize waliamulia ' mtafaruku ' gani Taifa mwaka jana wakati Simba SC ilipocheza na JKT Ruvu baina ya Hanspoppe aliyekuwa katika Kiwango chake bora cha hasira huku Kaburu akiwa ' anatetemeka ' huku ' anafikicha fikicha ' tu ' Vijicho ' vyake.
Halafu kama ungeweza ningeomba ' ufafanuzi ' mzuri na wa kina kabisa wa neno ' Mbea ' ili niweze kukujibu vizuri kusudi siku nyingine tu ukiiona hii ID uiheshimu na ukae nayo mbali kwani naona ni kama vile ' taratibu ' unajijaza mwenyewe katika ' frame '.