teh.teh.. hapa mimi mgeni nilitoka nikijua hiyo ni tabia mbaya! hivyo nimejifunza maneno ya mjini ambayo nayo kwatafsiri ya kiafrika hayana maana kwetu kama:-
sweet - ni kama pipi au chingamu utamu ukiisha unatupwa
honey- hakuna tofauti na kopo la blue band likiisha linanunuliwa lingine
my moyo- wizi mtupu mbona hauko kifuani kwako
my baby- hili ndilo baya zaidi dume zima unatumia nepi za kutupa yaani wewe ni mburura hujiwezi kwa lolote yaani unajinyea tu ya yako ni maziwa halafu jitu linafurahi badala ya teni anatoa laki umbwege mtupu.
nakubaliana na hii dia- angalau yenyewe ni dar es salaam international airport yaani wewe ni kila kitu mpaka ndege za magufuli zinatua kwako!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.