Habari JF,
Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila.
Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni either :-
1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi au
2. Ameachwa kutokana na utendaji mbovu ambao wananchi ilikuwa Ngumu kuuona au
3. Serikali ya Awamu ya Sita ni vibaraka wa Mafisadi hivyo alikuwa anazuia upigaji usifanyike.
Ni hayo tu, God bless Tanzania.