Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 479
- 1,292
Asee ukisema utupu nakumbuka mwamba moja sijui wa udom alivuma saana kwa mauno aliyompigisha mpnz wake afu mzigo ulikuwa kama 1hr
kutunyima kuona ni kutunyima fursa ya kutoa maoni ambayo ni haki ya msingiNiliziona zile video yaani..... watoto wanajua utadhani ndiyo masomo waliokua wamebobea...🙄
hakuna siri, kwa mtazamo wangu, katika mawaziri failures wa mama Samia huyu Dkt. Gwajima D anaongoza.Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.
Soma, Pia:
+ Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
Naafikia na wewe hata mimi nimeligundua hilo. unakuta kijana shule alikua kilaza hesabu za la 4 anazikimbiaWatoto kama hao kama ni dull darasani wapelekwe veta Nina imani watatoka vizuri jaribu kufanya research vijana ambao hawakuwa wazuri darasani Ata kinidhamu kweny maisha au mtaani kuna angle wanakuwaga na ustadi mkubwa
Wakipata mimba WARUDI SHULE!Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.
Soma, Pia:
+ Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
hakuna siri, kwa mtazamo wangu, katika mawaziri failures wa mama Samia huyu Dkt. Gwajima D anaongoza.
Taifa limeporomoka kabisa kimaadili mpaka naamini kuwa yeye ndiye muhusika mkuu wa maadili kuporomoka kwa kushindwa kwake kudhibiti kwa njia za kisasa.
Nilicheka peke yangu, aliponambia humu JF kuwa anatumia mbinu za enzi za mMkapa kupambana na matatizo ya sasa.
Nilimponda hapohapo, kwani hata nilipojaribu kumshauri alikuwa hanielewi kabisa. Nikaelewa kuwa huyu mwanamke hana ubunifu kabisa.
Tunajionea maadili ya jamii yanavyozidi kuporomoka kila kukicha.
Hata wewe pia sauti yako ni muhimu mkuuNgoja watetezi waje kupingana na waziri
Kuwafukuza wameasaidia nini?Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.
Soma, Pia:
+ Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
Najuwa kweli hujakosea.We tatizo lako ujuaji unakuponza Sana
Unajua kishambulia tu Ila kujenga hauwezi
Haelewi kuwa kufa nya hivyo ni kuwaambia, sasa kafanyeni kweli.Kuwafukuza wamwasaidia nini?
Hivyo uchi ndio uharibu maizha ya mtoto?
Walitakiwa kuadhibiwa, kurekebishwa na kuonywa
Nami nasistiza picha wengine tupo maporini huku!Hawana adabu hawa wototo
Ebu tuone hizo picha zao kama unazo
Asee ukisema utupu nakumbuka mwamba moja sijui wa udom alivuma saana kwa mauno aliyompigisha mpnz wake afu mzigo ulikuwa kama 1hr
Hebu hizo video kwanza tuzioneWanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.
Soma, Pia:
+ Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
We samia hebu acha Nongwa.hakuna siri, kwa mtazamo wangu, katika mawaziri failures wa mama Samia huyu Dkt. Gwajima D anaongoza.
Taifa limeporomoka kabisa kimaadili mpaka naamini kuwa yeye ndiye muhusika mkuu wa maadili kuporomoka kwa kushindwa kwake kudhibiti kwa njia za kisasa.
Nilicheka peke yangu, aliponambia humu JF kuwa anatumia mbinu za enzi za mMkapa kupambana na matatizo ya sasa.
Nilimponda hapohapo, kwani hata nilipojaribu kumshauri alikuwa hanielewi kabisa. Nikaelewa kuwa huyu mwanamke hana ubunifu kabisa.
Tunajionea maadili ya jamii yanavyozidi kuporomoka kila kukicha.
Mimi nashauri bangi iruhusiwe tu, hizi bangi za kujificha ndiyo zinawafanya muwe na wazimu.We samia hebu acha Nongwa.
Waziri umteue mwenyewe halafu uanze kumbagaza!
Tabia mbaya tu, unawafundisha nini wajukuu zako!
Halafu unataka Gwajima ndio awe mlezi wa maadili ya Tanganyika?
Watoto wakibomolewa vinyeo magetoni basi Gwajima ndio awajibike? Hata marekani watoto wanabomolewa.
Cha msingi ni kutunga sheria za kulinda watoto na kuzisimamia na kuwawajibisha wanaozivunja!! Nje ya hapo ni kumuonea tu Gwajima.
Halafu we bibi jiheshimu, sawa?
Cc: Kalpana Kapeace Mbaga Jr Poor Brain Extrovert binti kiziwi Bantu Lady
Nimeshangaa sana kuona mpk kwa mpalange wanafanya tena wanaonekana sio mara ya kwanza, kiukweli sijui tunaelekea wapi kama TaifaNiliziona zile video yaani..... watoto wanajua utadhani ndiyo masomo waliokua wamebobea...🙄