nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Mwaka huu wataisoma!!! Ndi ndi ndiNi wale wale ooh ni ile ile.
Mwaka huu wataisoma!!! Ndi ndi ndiNi wale wale ooh ni ile ile.
Duuu! MaweeeView attachment 351561 Licha ya Rais Magufuli kuwasisitiza TANESCO kuepukana na mikataba ya "ajabu ajabu" na kulitia Taifa na shirika hasara,bado TANESCO mwezi Desemba walisaini mkataba wa miaka 15 na kampuni ya Symbion,na baada ya "agizo" hilo la Rais wakati akifungua mitambo ya umeme wa Gas wa Kinyerezi
Hali hiyo imefikia Tanesco kuamua "kusitisha" aina yoyote ya mahusiano ya kimkataba na kampuni ya Symbion,hivyo kuifanya Symbion kuchukua hatua zaidi z kuipeleka Tanesco Mahakamani.Kila mwezi Tanesco hulipa karibu shilingi bilioni 36 kwa makampuni ambayo imeingia nayo mkataba wa kuzalisha umeme,malipo hayo ni kwa ajili ya 'Capacity Charge" kitu ambacho huliingiza Taifa na shirika lenyewe hasara kubwa na kuongeza mzigo wa malipo kwa wananchi wa chini
Wakati Tanesco ikichukua maamuzi hayo chini ya "influence" ya Rais,wao Symbion wanasema hawautambui msimamo huo mpya wa Tanesco kwani Desemba mwaka wa jana 2015,Symbion na Tanesco walishaingia kwenye mkataba wa miaka 15 wa Symbion kuliuzia Shirika la Umeme Tanzania kiwango cha umeme.
Management ya Symbion imechukuwa hatua ya kuifikisha Tanesco mahakamani ili kuishinikiza iweze kuendelea na mkataba huo ambao Symbion ingemuuzia Tanesco umeme kwa miaka 15
=================
Dar es Salaam. Symbion Power is contemplating a court move against Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) objecting to a plan to terminate its power supply contract, The Citizen can reveal.
The Citizen has learnt that the US electricity generating and distribution company is to sue Tanesco at the International Chamber of Commerce in France over a decision to terminate their work.
This is the latest development is the fast unfolding saga that is taking the shape of the past contract wars between Tanesco and Dowans, that in the end cost the taxpayers more than Sh250 billion in dispute settlements. Dowans was awarded the huge sum in the same manner before selling off the power plant to Symbion.
Firm’s managing director Paul Hinks is reportedly mulling the action after failing to secure commitment from the government that Tanesco would not unilaterally terminate the contract it argues was legal and binding.
Symbion and Tanesco are currently in a standoff over the manner in which the local power utility corporation is handling an apparent 15-year deal it handed the US company in December last year. Highly placed sources in Tanesco confided to The Citizen that Tanesco signed an agreement with Symbion on December 10, 2015 for generating and supplying 112MW until 2030.
The contract was signed soon after the expiry of the emergency power production contract between the same parties. According to the sources, the new 15-year contract was approved by authorities, including the Energy and Water Regulatory Authority (Ewura) and the Attorney General. Ewura issued Symbion with a licence for the contract on December 7 the same year upon payment of $45,000 (Sh90 million).
According to the sources, Tanesco’s managing director Felchesmi Mramba and the company’s acting legal officer Godson Makia signed the deal on behalf of firm while those who signed on behalf of Symbion were the then managing director, Dr Wagesverom Subramaniam, and Financial controller Gosbert Mutagaywa.
Things, however, took unexpected turn last month when Tanesco wrote to Symbion to announce it was “terminating talks on a new long-term contract” with the US firm. Mr Mramba wrote the letter on May 4, 2016 to reveal it would opt out of the talks.
In the letter, Mr Mramba suggested Symbion and Tanesco were in negotiations for the power purchase agreement. “We wish to inform you that Tanesco has formally withdrawn from being party to the intended PPA [power purchasing agreement],” he wrote. “You will recall that Tanesco and Symbion were negotiating a long-term power purchase agreement which would have been executed subsequent to issuance of necessary approvals from the government and other relevant authorities. Tanesco is in receipt of categorical directives from the government to suspend the execution of the intended PPA on any party thereof as from the date of this letter,” reads part of the Tanesco’s communication.
Following this communication, Mr Hinks wrote to the government, on May 10, to protest the move and demand that the firm’s contract be enforced as signed last year. Mr Hinks’ letter was sent to Energy and Minerals minister Sospeter Muhongo and copied to the Attorney General and the State House. In the letter, he enumerated the process leading to the signing of the PPA on December 10 and suggested Tanesco’s latest move was dishonest.
The Symbion MD complained that despite signing the contract, Tanesco had not paid them for the power supplied since then on grounds that the PPA was “under review” and “on hold.”
“We believe that we have been extremely patient and understanding as months of non-payment have elapsed but we must now insist that Tanesco fulfil its contractual obligation to pay Symbion for the power we have produced and which we are delivering every day,” wrote Mr Hinks.
The agreement with Tanesco, was to supply the 112MW for 15 years at a capacity charge of $17.66/KW per month and an energy charge of US cents 0.35 per KWh, the cheapest among all the independent power producers serving Tanesco.
Mr Mramba has been unavailable since Wednesday to shed light on the dispute or the decision to turn around the said Symbion contract. Prof Muhongo would not answer our questions when told about the existence of the December 10 contract, insisting only that the matter was between the two parties.
“As government we will not issue statements based on media queries. I will issue my reaction when it is necessary,” he told The Citizen in a telephone interview yesterday. Calls to the Attorney General George Masaju were not being answered and a text message sent to his known mobile number had not been replied to by the time of filing this report.
The Symbion’s senior vice president for Public Affairs and Communications, Mr Adi Raval, confirmed they have a contract with Tanesco and urged speedy and consensual resolve to the developing standoff.
“Symbion has a legally valid 15-year power purchase agreement that was signed by both Symbion and Tanesco in December 2015. We have comprehensive records to support anything we might say, it is important to note that legally, this PPA cannot be terminated unilaterally by Tanesco. “The public should probably wait for the truth to surface and also wait to see how this plays out before anyone passes judgement. In the meantime we will be patient and will not be distracted by attacks on us.
Asked about the move to sue Tanesco in France, Mr Raval said: “We hope that common sense might still prevail and a major dispute can still be averted. It is far too early for us to set things straight about what has been going on in Tanzania over recent months.”
Source : The Citizen
Lakini nadhani kifisadi na kimuundo shirika la umma linaweza kufanya maamuzi kupitia bodi zake za wakurugenzi. Mbona kashfa ya TRL Mwakyembe na Sita wamekana kujua dili la ununuzi wa mabehewa feki!TANESCO hawezi kiingia mkataba bila serikali kupitia wizara kujua .
Mkuu umetwanga ngapi Leo?, unaanza kwa kuandika hakuna mkataba Kati ya symbion Na tanesco,hapo hapo unakiri wanatuibia Kula mwezi, wanawezaje kuiba bila mkataba au wanatumia bunduki?, hatutetei mapepari tuna wasiwasi Na walinzi wa rasilimali zetu tuliowachagua!.Hakuna mkataba wowote uliosainiwa kati ya symbion na Tanesco hizo ni mbwembwe tu na kutapa tapa kwa hawa wawekezaji wajanja wajanja wa kigeni. Maji ya Magufuli yamewafika shingoni sasahivi wanatapatapa tu!
Na nyie mnaojaribu kutetea hawa mabepari wa kigeni hebu kuweni na uzalendo hata kidogo ili watanzania tuungane kuonyesha tumechoka udhalimu wa hawa watu kutuibia mabilioni ya service charge kila mwezi.
Kiama chao kimefika tutasikia mengi tu.
Umesainiwa wakati wa Maghufuli ameingia madarakani. Yetu macho na masikioaahahaha kama wazazi wake wa asili ni hao basi kitaendelea kusumbua
Duh!, kweli Lowassa atatuumiza kabisa, yaani pamoja Na mkwele kucheza danadana za kitenesi Na Obama pale ubungo, kumbe walikuwa wametumwa Na Lowassa!.Lowasa na masimbioni yake atatuumiza jamani
Ni nani alimpokea Hillary Clinton alipokuja Tanzania?Ni nani alimpokea Obama alipikuja Tanzania?
Lakini kwa ishu ilivyokaa ata kije chama gani kutawala mikataba hii ni ngumu sana ku terminateWanaochaguaga CCM sijui huwa wanawaza nini!!!
Umesainiwa wakati wa Maghufuli ameingia madarakani. Yetu macho na masikio
Muhongo anajibu kama kaulizwa swali kuhusu familia yake. Akahamua kujibu politely baadala ya kusema, mind your own business!insisting only that the matter was between the two parties.
Asa mkuu ukilipua ndio tutavamiwa nchi yote kuwa ni ugaidi.WAZO LA KIJINGA
TUTUMIE MAMAFIA WAFANYE WANAVYO JUA HIYO MITAMBO ISIFANYE KAZI KWA MIEZI KADHAA HATA IKILAZIMIKA "KUILIPUA" SAWA TUU AFU IONEKANE HAO SYMBION WESHINDWA KUZALISHA UMEME KULINGANA MAKUBALIINO KISHA TUVUNJE HUO MKATABA KIULAINI KAMA UPO
kama wanatuhujumu tutafute mbinu ya kuwahujumu pia alaa!
Iliwezekanaje akasainishwa huo mkataba wa miaka 15 December mwaka jana halafu leo hii mmeshaona haufai? Au ndiyo ile mihemko na mizuka iliyosemwa bungeni?Huyu Symbion baba yake ni Dowans na Babu yake ni Richard Monduli
Iliwezekanaje akasainishwa huo mkataba wa miaka 15 December mwaka jana halafu leo hii mmeshaona haufai? Au ndiyo ile mihemko na mizuka iliyosemwa bungeni?