- Thread starter
- #41
Upo chini sana ongeza kidogo nikuachiemimi nakupa 2.5 sasa hivi
Upo chini sana ongeza kidogo nikuachiemimi nakupa 2.5 sasa hivi
mimi nimeongea ww sema bei yako ya mwisho nione kama nitaweza.Upo chini sana ongeza kidogo nikuachie
GARI NIMEISHAUZAmimi nimeongea ww sema bei yako ya mwisho nione kama nitaweza.
ASANTE KWA MAOMBI YAKO MKUU GARI NIMESHAUZAGari utauza mkuu, sijawahi kuwa na mashaka na mali zako ulizowahi kuleta hapa
KAKA GARI NIMESHAUZAAnauza si malí yake chief
Ova
Hongera mkuu Gari zuri hilo mtakaji serious hawezi iachaKAKA GARI NIMESHAUZA
Suzuki van for sale 4.8m pungufu unaongea
Habari zenu wapendwa, nauza gari yangu aina ya suzuki every van tshs. 4,800,000/= pungufu unaongea. Mimi ndie mmiliki wa gari na wala sio dalali. Wasiliana nami kupitia namba 0716 00 23 23, frank jb.
Namba ya gari ni: t 411 caf, suzuki every.
Rangi ni: silver.
Gari ni ya mwaka: 2000.
Ukubwa engine ina cc: 657.
Gari ni nzima na haidaiwi, ni full vibali yani wewe ni kulipia, kuwasha na kuondoka.
Na ni automatic gear na inapakia watu saba (7) mpaka tisa (9).
Na mpaka sasa imetembea kilometa 85,000 tu.
Kwenye upande wa mafuta inanusa kwakuwa ina engine ndogo, na mizunguko yangu huwa natoka nayo goba nyumbani kwangu hadi kinondoni kazini kwangu kwahivyo nikiweka mafuta full tank ya elfu 60 huwa nayatumia siku 13 mpaka siku 14 ndo naingia petrol station tena.
Dhumuni ya kuiuza: nina uhitaji wa pesa haraka ili niweze kufanyia biashara nyingine kwahivyo usiwe na wasiwasi kuhusu bei kwakuwa bei inapungua tena inapungua sana tu usiogope mimi ndie mwenye gari, picha zake nimeambatanisha. Nipigie kwenye namba yangu ya 0716 00 23 23, frank jb ili tuongee, asante.
View attachment 463659
View attachment 463660
View attachment 463661 View attachment 463662
View attachment 463663
View attachment 463664
View attachment 463665
View attachment 463666
View attachment 463668 View attachment 463669 View attachment 463670 View attachment 463671
Acha kuliakulia wé...mwenzako ashaiuza ....wenye kuhitaji Gari washamalizaKwa miaka yote imetembea kilometer 85 elfu tuu ????? ????? Vizia wakumpiga
Ahsante kaka kwa kunisaidia kunijibia huyo anaejihita ngurumoo, huyu ngurumoo ana roho mbaya utafikiri jini makataAcha kuliakulia wé...mwenzako ashaiuza ....wenye kuhitaji Gari washamaliza
Ova
Kaa kimya na acha roho mbaya kama umekalia jeki. Kwahivyo kama gari ilinunuliwa ukiwa 0 kilometer? Kwa taarifa yako gari nimeshauza tangu mchana acha roho mbaya kama umekalia msumar wa moto!Kwa miaka yote imetembea kilometer 85 elfu tuu ????? ????? Vizia wakumpiga
ha ha haa...kazoea kirikuu za kilomita lakimbiliKaa kimya na acha roho mbaya kama umekalia jeki. Kwahivyo kama gari ilinunuliwa ukiwa 0 kilometer? Kwa taarifa yako gari nimeshauza tangu mchana acha roho mbaya kama umekalia msumar wa moto!