Nipigie 0716 002323 nipo hewan 24hrsNikupe m4 ila niko nzega km poa kesho nitume mtunaichukue sawa frank JB? nakupigia sikupati mkuu
Kasema mkuu.......anataka aanzishe biashara nyinginewhy unauza??
Gari utauza mkuu, sijawahi kuwa na mashaka na mali zako ulizowahi kuleta hapa
Nashukuru mkuuGari utauza mkuu, sijawahi kuwa na mashaka na mali zako ulizowahi kuleta hapa
Gari bado ipo pungufu unaongea
mkuu kesho mchana utakuwa wapi tuichekiGari bado ipo pungufu unaongea
Ntakuwa Kinondoni vijanamkuu kesho mchana utakuwa wapi tuicheki
Nimekuelewa mkuu AC inafanya kazi na pole kwakuwa na aleji na nambaCAFMkuu kwanza nmependa jinsi ulivyo wakilisha biashara yako, hongera sana kwa ku cover maeneo yote japo hujagusia kuhusu Ac ukizingatia mji huu na joto.
Naamini soon utapata mteja mimi pia ningependa kulinunua ila nmekutana na vikwazo viwili japo cha kwanza ndicho cha msingi zaidi, mosi sina pesa ya kutosha na pili hiyo namba Caf mana si namba rafiki kwa upande wangu
Nipigie kesho kuanzia saa nne asubuhi tuongeeNina 3 million
Chief bado ipo iyo gari ?Suzuki van for sale 4.8m pungufu unaongea
Habari zenu wapendwa, nauza gari yangu aina ya suzuki every van tshs. 4,800,000/= pungufu unaongea. Mimi ndie mmiliki wa gari na wala sio dalali. Wasiliana nami kupitia namba 0716 00 23 23, frank jb.
Namba ya gari ni: t 411 caf, suzuki every.
Rangi ni: silver.
Gari ni ya mwaka: 2000.
Ukubwa engine ina cc: 657.
Gari ni nzima na haidaiwi, ni full vibali yani wewe ni kulipia, kuwasha na kuondoka.
Na ni automatic gear na inapakia watu saba (7) mpaka tisa (9).
Na mpaka sasa imetembea kilometa 85,000 tu.
Kwenye upande wa mafuta inanusa kwakuwa ina engine ndogo, na mizunguko yangu huwa natoka nayo goba nyumbani kwangu hadi kinondoni kazini kwangu kwahivyo nikiweka mafuta full tank ya elfu 60 huwa nayatumia siku 13 mpaka siku 14 ndo naingia petrol station tena.
Dhumuni ya kuiuza: nina uhitaji wa pesa haraka ili niweze kufanyia biashara nyingine kwahivyo usiwe na wasiwasi kuhusu bei kwakuwa bei inapungua tena inapungua sana tu usiogope mimi ndie mwenye gari, picha zake nimeambatanisha. Nipigie kwenye namba yangu ya 0716 00 23 23, frank jb ili tuongee, asante.
View attachment 463659
View attachment 463660
View attachment 463661 View attachment 463662
View attachment 463663
View attachment 463664
View attachment 463665
View attachment 463666
View attachment 463668 View attachment 463669 View attachment 463670 View attachment 463671
mimi nakupa 2.5 sasa hiviNipi
Nipigie 0716 002323 nipo hewan 24hrs
Ipo nipigieChief bado ipo iyo gari ?