Wansakieki
Senior Member
- Mar 23, 2023
- 182
- 656
Habari za uzima wadau? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye maada directly.
Hili suala la ucheleweshwaji wa placements, hakika limekua tatizo kubwa sana ambalo moja kwa moja wanaoathirika ni vijana(job seekers). Hivyo basi napendekeza hili lifanyike from now.
Napendekeza Kutolewa majibu ya oral kama ilivyo kwa written interview tena immediately after oral ili wasailiwa wajue mbivu na mbichi wakati process zingne zikiendelea.
Kwanza kabisa marks za oral hua zinajulikana apo apo baada ya oral hivyo basi sioni sababu yoyote ya kutokutoa matokeo ya oral mara tu baada ya interview kwanza hii inasaidia pia watu wajue kama wako kwenye kanzidata au walizingua wajinoe zaid kwa ajili ya next interviews.
PSRS na serikali kwa ujumla tunaomba mtuondolee hii psychological torture kwetu sisi vijana tunaumia mno, guys kusubiri placements zaidi ya 4 months huu ni extra-ordinary uvumilivu nasisitiza apa "hakuna sababu yoyote ya kutokutoa matokeo ya oral" vingnevyo PSRS mna yenu. Kanzi data na matokeo ya oral sio vitu vya kuficha sio bangi zile.