Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Huenda na wahehe asili yao ni huko
Haha yani badala ya kupewa rambirambi mnapewa invoice.pamoja na hayo lakini ni vyema kugundua kwamba wajapani ni watu wa kujiua sana,nilikaa chiba kwa muda kama wa miezi mitano mwaka 2012,ilikuwa sio ajabu ukipita kwenda shinjuku au ropongi njiani kwenye reli unakuta wameweka maua,au chupa za bia au mishumaa inawaka,mara nyingi nilikuwa nikiona hivyo baada ya kumuuliza mwenyeji wangu aliniambia ukiona vitu kama hivyo ni ishara kwamba kuna mtu amekufa maeneo hayo yaani amevizia treni inakuja then anajirusha kwenye reli,imekuwa ni tabia yao hiyo na kinachofanyika wanasema kukomesha tabia yao hiyo serikali ya huko imekuwa ikisafisha mabaki ya watu waliokufa na kufanya usafi kwenye reli alafu invoice ya gharama za kutoa mizoga hiyo inapelekwa kwenye familia,ilifanyika hiyo ili kuwadiscourage lakini bado wanajiua sana,usishangae kusikia "Gomen'nasai" yaani samahani tutachelewa kidogo,ukisikia hivyo ujue mbele kuna mtu amejitupa kwenye reli.
mabwepande cha mtoto aiseeKibongo bongo hii tutaifananisha na wapi? Mabwepande au
Hapa kuna conspiracy tofauti tofauti wapo wanaosema kuwa wanauawa na serikali na kwenda kupelekwa msituni Aokigahara ila wapo wanaosema kuwa kuna nguvu ya ajabu inawaua kwa nguvu za kimiujiza na wapo wanaosema ni kuwa watu hao wamechagua hiyo sehemu kuwa ndio sehemu yao ya kujinyongea
wengine wanasema watu wakifika hapo kuna pepo mbaya anawaingia kichwani na anawaamrisha wajinyonge hivyo watu wanajiua bila ya kujua kuwa wanajiua
Bill duke yupo pia kwenye commandondi
ndio aiseee enzi hizo akafumuliwa ubongo na predator predator alikuwa ni kelvin peter hall r.i.p
wengine kwenye hiyo movie alikuwako carl weathers , sony ladham (billy) shane black (yule dogo aliyekufa mwanzo) jesse bonieventura aliyevumuliwa tumbo my fav movie hiyo
These Bonaventure aliyesema"you have big pussy?ndi
ndio aiseee enzi hizo akafumuliwa ubongo na predator predator alikuwa ni kelvin peter hall r.i.p
wengine kwenye hiyo movie alikuwako carl weathers , sony ladham (billy) shane black (yule dogo aliyekufa mwanzo) jesse bonieventura aliyevumuliwa tumbo my fav movie hiyo
ni kweli kabisa japan ndio nchi inayoongoza kwa suicideBravoo C.T.U umeandika kaka ila pia naskia wajapani wanajiuwa sana hawa watu hata kwenye matreni yaendayo kasi nako wanajitupa sana wafe.
Ni nchi yenye inadadi kubwa sana ya watu wanao jiuwa.
Thanks hii makala na mie ntaisoma zaidi ili kujua zaidi