Soma uujue AOKIGAHARA: Msitu wa ajabu Japan ambapo maelfu ya watu wamekufa kimiujiza

Aisee......hiyo picha ya limtu this night sio poa.......
Ila nimependa taarifa za msitu.....waliponiudhi ni hapo kwenye bango........nikiwa kama mtalii nitalielewaje......?....wajepu bana.......
 
C.T.U fanya editing kidogo kwenye pic. Nyingine zinatisha sana. Kama hiyo ya mwisho ni noumar, inafaa huu uzi uusome mchana.

Ahsante lakini.
 
Mtu akiamua kujiua Ni kwamba nguvu ya giza imemwingia tayari na inamwelekeza wapi akajiulie.
hapo msitu wa aokigahara kutakuwa na nguvu ya giza inawaita watu iwatoe kafara kwa sababu fulani
 
Aisee......hiyo picha ya limtu this night sio poa.......
Ila nimependa taarifa za msitu.....waliponiudhi ni hapo kwenye bango........nikiwa kama mtalii nitalielewaje......?....wajepu bana.......
hao ndio wajapani aisee ila kuna kibao cha kingereza kipo hichi hapa...
892fd7f31624e74f428f9e9d6edb6727.jpg
 
Mtu akiamua kujiua Ni kwamba nguvu ya giza imemwingia tayari na inamwelekeza wapi akajiulie.
hapo msitu wa aokigahara kutakuwa na nguvu ya giza inawaita watu iwatoe kafara kwa sababu fulani

na nini madhumuni ya hiyo kafara?
 
Bravoo C.T.U umeandika kaka ila pia naskia wajapani wanajiuwa sana hawa watu hata kwenye matreni yaendayo kasi nako wanajitupa sana wafe.
Ni nchi yenye inadadi kubwa sana ya watu wanao jiuwa.
Thanks hii makala na mie ntaisoma zaidi ili kujua zaidi
Zao la bangi likiruhusiwa hapa japan hili tatizo litakwisha kabisa....bangi dawa ya kuondoa stress
 
konichiwaaa...
mkuu unakula tu shushi huko nasikia wewe ni mtu mbaya sana unapiga dili na YAKUZA tu huko hahahaha
 
huko jamaica idadi ya watu wanaojiua ndogo sana...
Alafu C.T.U ujatutendea fair kabisa...kwenye ile mada ya rockfellar......bado Ujaelezea zaidi ya familia 11...kati ya zile familia 13..mwaka wa 2 sasa..au tungoje tena miaka 10 ya uchunguzi?????
 
hahahaha muda mkuu muda ndio sina ila ngoja nitai update mkuu
 
Aisee......hiyo picha ya limtu this night sio poa.......
Ila nimependa taarifa za msitu.....waliponiudhi ni hapo kwenye bango........nikiwa kama mtalii nitalielewaje......?....wajepu bana.......
Kwani unalala peke yako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom