Sitarudia kuitetea tena CCM. Nimechoka

ndo nyie mlikuwehuka nakuanza kutusi watu kisa iyo vaccancy ya Kilimanjaro eeeh alijisemea yericko Nyerere mnaweza kuhari***a mtu kichwani kisa iyo post
Mkuu mbona unanihukumu mimi nina maumivu ujue
 
Huyo Mama sasa atatkiwa kuhakikisha wapinzani hawafanyi mikutano ya kisiasa,hawaruhusiwi kuaga maiti,hawashindi uchaguzi kwa njia yoyote ile na kwa moshi akitaka apate sifa apavurugevuruge tu kama Arusha ili afikie rank ya kina bashite na gambo
 
Acha mama ale matunda ya MAMA TANZANIA, mlizoea kula peke yenu. Ila huo ni mtego kwa mama + Magu pia, kwa mikoa ya kanda ya kasikazini kuwepo mpinzani kama mkuu wa mkoa. Muda ndiyo jibu sahihi
 
Pole sana sisi na akina Lizaboni, Le mutuz tumekubali yaishe tumebaki kushikilia mapembe tu maisha yanakwenda, chama kina wenyewe ndugu yangu.
Ndugu yangu wengine tulikuwa na matarajio makubwa, imekuwa tofauti, jamaa hana habari tena na sisi bora tucheki utaratibu mwingene tuungane kutetea na kusimamia ukweli, Le mutuz ,Lizia na Quinine najua dhamira yenu inajua ukweli ila mmeamua kukalia ndoto za alinacha
 
Back
Top Bottom