Ala Ala na mwiko wakati wa kupakua,Ukifanya kosa jungu utalitoboa.Kwahiyo ndomana wakasema kwamba Mtaka nyingi nasaba Hupata mwingi msiba??
Nimekupendaje mdada,Comment yako yastahili kumbatioNimezungumzia suala LA afya kaka yangu nadhani umenielewa tofauti hapa,starehe zisizokua na ulazima na kujiweka ktk hatari ya maradhi ambayo uwezo wa kujikinga nao ninao ndicho nilichomaanisha,watu wengi mnamlaumu huyu aliyeleta mada hii kuwa ni mchafu kitu ambacho si sahihi,pasipo kujua tayari anafahamu madhara yake na anajaribu kuzuia hilo jambo,na kumlinda mwenzie lakini kwa kuwa hilo hamlielewi na kuendekeza matendo ambayo si ya lazima ndio maana mnajaribu kutumia sentensi ya kuwa ni mchafu lakini mfahamu ya kuwa mnakosea sana ktk hili,anyway kila endeleeni.
Hahaha Basi bora iwe kimfaacho mtu chake, kwasababu ujuaji mwingi mbele kizaAla Ala na mwiko wakati wa kupakua,Ukifanya kosa jungu utalitoboa.
Usisahau faragha ya nyani,huishia ngokoniHahaha Basi bora iwe kimfaacho mtu chake, kwasababu ujuaji mwingi mbele kiza
Sasa jee,chakula bila chumvi kinanogaje labda??Patam apo
Labda mwenzetu akitia chumvi haikolei ndo mana mlaji analalamika.... Nakumbuka Kuna mdada m1 baada ya kuunga chumvi vzuri akambia apo sawa mwingine akizama chumvini kama katumwa k*c*m na mganga. Mpaka inakua kero Co raha tena. Sa napata pcha kama uyu jamaa wa mleta uzi ndo wale wale mixer kinyaa cha mleta uzi, basi tena hamna raha ya ku do tena apoSasa jee,chakula bila chumvi kinanogaje labda??
Je na wewe unachezea mic ?Wadau naomba msaada,
Kiukweli sipendi mpenzi wangu akizama chumvini, sababu kuu ni kuwa akishazama anataka anikiss mdomoni. Aisee najisikia vibaya, kuna wakati nilimwambia sipendi ikawa ugomvi mpaka akakata mawasilino, nikamwomba msamaha ili kujua shida ni nini? Akaniambia nambania kuzama, yaani kuzama ndio ugonjwa wake.
Nakerwa na hii hali wanajamii forum naomba msaada wa mawazo, nifanyeje ili aache.
Lakini hakuna siri ya watu wawili kwasababu kikulacho kinguoni mwakoUsisahau faragha ya nyani,huishia ngokoni
Ni kweli lakini kumbuka chokochoko mchokoe pweza binadam hutomuweza na kuwa makini usije kumlaumu mkwezi wakati nazi imeliwa na mweziLakini hakuna siri ya watu wawili kwasababu kikulacho kinguoni mwako
Hiyo ni mojawapo kati ya sababu zinazochangia kupata cancer ya koo,jaribu kuelewa mkuu.
K yako mwenyewe unaionea kinyaa....au ndo "kiwolper wolper"...
Kwahiyo bora nusu shari kuliko shari kamili?Ni kweli lakini kumbuka chokochoko mchokoe pweza binadam hutomuweza na kuwa makini usije kumlaumu mkwezi wakati nazi imeliwa na mwezi
NITAJIE NJIA MOJA M'BADALApia nasema sio kila mtu ni wakufanya naye hivyo coz magonjwa ya KE yapo nje ya viungo vya uzazi ni rahisi pia kupata maambukizi ya magonjwa hayo yaliotajwa
Na kama mpenz wako hajaridhia bas njia nyingne zipo za kuburudishana tusikariri
tumia kidoleNITAJIE NJIA MOJA M'BADALA