Sylazie
Senior Member
- Oct 1, 2016
- 140
- 118
Msikariri kila ugonjwa huisha wenyewe kwasababu mtautengenezea usugu ugonjwa huo na kuamini kuwa umeisha kumbe si kweliInaishaga yenyewe ila kuna ile inayogoma kuisha ndo husababisha maginjwa mengine!!! Kuna chanjo na dawa.