Sipendi kusikia kuhusu ajira za walimu

Habari wana jamvi
Kwamara ya kwanza nimeamua kuleta Uzi huu kwenu...jamani inachosha Mimi Binafsi sipendi kusikia kuhusu ajira za ualim mwaka huu. Nina Inani na wengine wengi wanaosubili kama Mimi hawapendi....OMBI LANGU magaz eti na wanasiasa mkae kimya msitafute majina na umaarufu kwa kupitia ajira za walim mnatuumiza mioyo Sie wahanga...Nahisi nimeeleweka.
Wewe subiri upangiwe vijiji vilivyo mwisho mwa tanzania..
 
Mwl. Unaakili sana wewe...umeelewa nini nilikimaanisha
Pamoja sana mwl.

Mpaka sasa nadhani umeshapata uelewa mpana kuhusu dhana ya siasa pamoja na mifano ya kutosha.

Swali moja, kila siku jibu linabadilika.
 
Basi mkuu hatuelewani! Asante kwa mchango pia.

kwenye Uzi wako umetumia maneno yafuatayo;-
1. "Nina imani na wengine wengi wanaosubiri KAMA MIMI hawapendi"
2. "Mnatuumiza mioyo SIE WAHANGA"

siku njema ndugu mwalimu.
 
Back
Top Bottom