simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,205
Why then Harbinder Singh Sethi is a magician. Now you see me, now you don't.
Sio rahisiWaanze kwanza na kina chenge!
Hivi bado yuko jela?Ndo maana walikuwa wanapinga asikamatwe ili atoroke kwanza
Mbinu ilikwama?JK alikuwa anamfanyia mbinu za kusepa ndiyo maana hajatoa maamuzi yoyote.
Singasinga hatabalaliwa ila atabadilisha jina tu
AiseeMimi nakubaliana kabisa na wewe mkuu. Walikuwa wanamtafutia mazingira ya kuishi kabla ya kuanza kutajataja mambo yake ili asiwepo akitakiwa kukamatwa.
Hata hivyo bado naona giza kwa kauli kinzani toka Ikulu. Katibu Mkuu kiongozi anasema lazima uchunguzi kwanza ufanyike; Mkuu anasema atatoa majibu ndani ya wiki...bado kuna kusigisishana kwa hali ya juu kwa taarifa mbili tofauti toka ofisi moja. Naona jambo hili itabidi libebwe kichama zaidi kuokoa images za wakubwa. Hii inaweza kumaanisha kuwa waliokwapua walikwapua kwa niaba ya chama ndiyo maana ukiwa gamba hata bila kufikiria mara mbili unawatetea hawa jamaa na wizi wao.
Aliebinafsishiwa serekale anakula kipupwe jela huko...URAIS kaisha ugawa kwa FAMILIA na RAFIKI zake,na sasa hizi group mbili ndizo zinatufanyia maamuzi.Kuumbuka IKULU ndiyo wahusika wakuu,sasa wategemea kipi chemakitoke kwenye JUMBA bovu?Wajua JUMBA bovu lakaa akina nani...kuna vibaka,misheni town,wezi,majangili,madawa ya kulevya na majambazi,hivyo usitegemee MALAIKA atatoka huko.
Na kumbuka SERIKALI pia imebinafsihwa kwa Singasinga ,siumesikia akisimama na kuongea?Miti yote hutikisika na ndege wakakimbia kuepusha balaa...
Uliona wapi MUWEKEZAJI akafika MAHAKAMANI akasema NATAKA SUPIKA,AG na PM wote wakamatwe wawekwe ndani?Nguvu hii kaipata wapi kama hajabinafsishwa IKULU?:shock:
Deal donendugu zangu dunia kijiji endapo atakapo hitajika kukamatwa atakamatwa tu wala msijenge hoja za ajabuajabu za kutuhumu viongozi na serikali