Wapendwa na wapenzi wa simulizi ya MIMI NA MIMI, ninataka kuwafahamisha kwamba kutakuwa na badiliko kubwa la kupost story hii hapa. Sehemu ya kumi na tisa ndiyo itakuwa sehemu ya mwisho kutua hapa, na hii ni kutokana na hitilafu nyingi sana zinazoninyima budi ya kuendelea kuipost, ikiwemo ubebaji wa kazi bila idhini ya mwandishi kutoka kwa watu mbalimbali. Nitaunda grp special ambalo wapenzi wa story hii wataweza kuimalizia, hivyo wanaweza kunicheki kwa namba ile ile ambayo huwekwa chini ya kila sehemu za hadithi hiyo ili niwaunge. Asanteni sana 🙏
Pole mzee. Ila hili huwezi kukwepa maana bado anayechukua story anaweza kuja hata huko akaipata na akaendeleza.

Uzuri wa hapa tunasoma story bila kuwa na utambulisho wetu halisi. Whatsapp tunajiexpose.

Ila asante kwa kufanya hapa kuwa kijiwe cha kupumzika baada ya vichwa kuwaka moto
 
Mkuu Elton Tonny naomba taarifa la hilo group la simulizi yako ya MIMI NA MIMI
Hey. Pole nmechelewa kujibu ndg. Nimesitisha mpango wa kutengeneza group kwa kuwa nao unaleta changamoto ile ile. Sasa nmeanza kuiupload story hii kule fasihinet.com hivyo ikifika sehemu mliyofikia mtaweza kuendelea. Niwieni radhi kwa usumbufu, mambo ni mengi
 
Hizi nazo janja janja ss....kwan huko kwenye group mtu uliemkimbia huku hawezi kuja na ichukua story huko huko...😒
Yeah, mwanzo sikuwa nimeconsider hilo ndiyo maana. Now itaendelea kwenye ile site, na huku jf labda paboreshwe ili kazi za watunzi zisiwe zinabebwa tu na yeyote ndiyo nitaiendeleza pia. 🙏
 
Elton najua umetupa burudani sana kwa kutenga muda wako hapa ili tutulize vichwa vyetu. Kwa miaka mingi humu huwa zinaletwa story nyingi tunazisoma na mara nyingine watu huchukua na kwenda kupiga peaa kwenye platform zingine. Hili huwezi kwepa. Walikuwepo wakina Lara na Moneypink, Insider, Yule mpenzi wa kumbu kule south walileta story humu tukaburudika.

Ulilianzisha hapa limalize hapa. Usitupeleke kwenye platform tusizozizoea. Hata huko kwingine zikienda watu wanajua wapi wamekopi. Nondo nyingi zinatolewa humu zinawasaidia watu kuwasilisha mada zao. Relax kijana tupe burudani ukipata muda

Angalau huko fasihi.com panawalipa hawa watunzi.Wasomaji wanaachiwa kusoma free mpaka chapter fulani ila utamu ukikolea tu inajilock inakutaka ununue coins ili uendelee kusoma...Ukilipia inafunguka unaendelea kusoma.Coin moja unaweza soma chapter moja.Coin moja ni sh.100.Hivyo kama ulikuwa unafuatilia stori yenye chapter 78 utaachiwa labda mpaka ya 8.Kuanzia ya 9 hadi ya mwishoni kila chapter utasoma kwa sh.100.So kumaliza itahitaji kulipa 7000.

Kwahiyo mtunzi wa kazi naye analipwa asilimia fulani na wenye hiyo platform.Jamiiforums wangeweza pia kufanya hivi ili hawa ndugu zetu wafaidike na kazi zao hapa Jamiiforums, huku JF nayo ikifaidika kwa kuwa platform.Uongozi wa Jamiiforums unaweza ukaliona hilo hitaji la wasomaji wa hadithi kuzisomea hapa ikaweka utaratibu utakaohakikisha pande zote tatu JF,msanii na msomaji zinafaidika.Mkuu Maxence Melo liangaliwe hili

Mfano stories za Elton Tonny ambazo ndizo nzuri kupita za wote humu JF (kwa mtazamo wangu) huwa chapter moja ni ndefu sana kwa hiyo kuilipia sh.100 hiyo chapter ni sawa kabisa.Changamoto ni kwa wale watunzi ambao chapter yao moja ni fupi sana so kumaliza kitabu zinaweza kwenda hata 200 wakati volume ni ileile ya mwenye chapter 78.Moja ulipie 7000 na nyingine 19,000!Watu hawataimudu hiyo ya vichapter vifupi vifupi na hivyo kufuatilia zile ambazo wanazimudu.Mfano ile hadithi nzuri ya Shamba la hela,mtunzi anaweka visura vifupi fupi sana ikitokea akiweka kule inabidi aongeze ukubwa wa chapter zake ili watu wengi waweze kuinunulia coins na kuisoma kwa unafuu!Ikiwa ndefu hawatanunua kwakuwa itahitaji fedha nyingi zaidi kuliko zenye chapter ndefu kama za Elton.

Nimpongeze Elton Tony kwa kuandika kazi nzuri sana.Nimesoma Dylan,Change,Mimi na mimi na Invisible.Huyu jamaa ni level nyingine kabisa katika utunzi wa stori tamu,Uandishi wenye mguso na mpangilio mzuri wa maneno ya kiswahili fasaha.
 
Asante sana ndugu yangu. Umeongea mengi muhimu ambayo hata sikuweza kuelezea. Hali ndiyo iko hivyo. Natumaini JF wataboresha upande huo kweny posting ili nasi watunzi tufaidike inavyostahili kwa kazi ngumu tunayofanya.
 
Lakini Jitahidi uzimalize kule kweli ni za kulipia jitahidi ziishe haraka mfano Dosari Kuna vipande nane tu kule Fasihi.net

Nimelipia Kwa ajili ya story yako inanilazimu nisome Hadi nisizozitaka

Hongera Kwa kazi nzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom