The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 1,013
- 1,634
Si kweliKumbe fimbo 10 zinaua??
Walimu wa zamani?... Ipi hiyo?Waalimu wa siku hizi hata sijui wapo vp maana ni tofauti na wale wa zamani,sasa sijui ni stress za maisha au vp na sijui hii kadhia itaisha lini kwa waalimu maana imekuwa too much
Ukweli ni kwamba binadamu wa siku hizi wamekua delicate mnoWalimu wa zamani?... Ipi hiyo?
Tuliosoma miaka ya 80 Hadi 90 tunaijua shoo ya walimu wake linapokuja suala la mboko.
Mimi niliwahi pigwa mboko countless na mwalimu, Tena mtaani siku ya jumamosi, Wala siyo shuleni.
Anyway, walimu Wana mazingira magumu sana ya kazi.
Jela zipi mkuu au hizi hizi za mama Abdul ambazo ikifika sikukuu ya muungano anatoka kwa msamaha wa mama Abdul. Chezea bongo nyoso veveUnamchapaje mwanafunzi fimbo 10 tena Kila mahali
Amekua ng'ombe ?
Anaenda jela na kupoteza ajira kwa ujinga wake
Walimu againInasikitisha sana unyama wa hali ya juu
Kosa la tatusehemu tofauti za mwili ikiwemo kichwani.
Kosa la piliMwanafunzi wa kike