Simiyu: Mwanafunzi adaiwa kufariki kwa kuchapwa viboko na kukanyagwa kichwani na mwalimu shuleni

Uduni wa mshahara wa mwalimu ameamua kuhamishia hasira zake Kwa mwanafunzi.walimu wajinga sana
 
Mishahara ipi Dunia,idara ipi Ina mishahara mzuri
TRA,TPDC. TCAA na TCRA Kwa uchache Zina mishahara mzuri ukiajiliwa kuanzia ngazi ya shahada na kuendelea.Tofauti na mwalimu hata mwenye master degree ni mshahara mdogo sana.
 
Hapana. Ila nina marafiki na watu ninaofahamiana nao ambao ni walimu.

Kiukweli kuna wakati unajiuliza huyu naye amewezaje kuwa mwalimu?

Mtu ambaye tumeishi naye mtaani ni mtukutu tangu akiwa shule anavuta mibangi na mipombe halafu baadae unamkuta kaenda ualimu.

Huwa najiuliza kwamba ualimu ndiyo fani ambayo kila mtu anaiweza?

Kwanini wengi wao waliofeli kufikia ndoto zao za kitaaluma ndiyo hukimbilia ualimu?
Sio ualimu tu mkuu ata kwenye majeshi
 
TRA,TPDC. TCAA na TCRA Kwa uchache Zina mishahara mzuri ukiajiliwa kuanzia ngazi ya shahada na kuendelea.Tofauti na mwalimu hata mwenye master degree ni mshahara mdogo sana.
Sasa watanzania wote wakiajiliwa TRA,TCAA NK.nani atafundisha watoto,nani atatibu wagonjwa
 
Sasa watanzania wote wakiajiliwa TRA,TCAA NK.nani atafundisha watoto,nani atatibu wagonjwa
Kikubwa walimu waongezeke posho kama ilivyo Kwa wengine.walimu wanalia njaa Kila siku maana mtaani tunawaona.
 
yanii inasikitisha sana mwalimu kumpotezea mtoto maisha tunawategemea walimu kutujengea taifa la kesho unakuja kuuwaa tena taifa ilo serekali wakumbusheni tena walimu ni nini wakifanye kulea ndoto za watoto wetu tunawaomba sana walimu bado tuna hamu kubwa kuona ndoto za hao watoto zikitimia nawaombeni walimu muwe na huruma jamani
Asante sana
 
Kwanini umchape mtoto wa mtu mpaka afe, amekataa kusoma achana nae.
Kikubwa hapo itakuwa hela mzee maana naona sana ,Shule ya secondary Miburani Wilaya ya Temeke Dar wana tabia ya kuchapa ovyo wanafunzi kisa kutotoa Elfu Mbili ya test kila Ijumaa pia watoto wanalazimishwa kwenda tuition kila Jumamosi, usipoenda walimu wakakosa Elfu mbili yao viboko vinatembezwa pia.
Mzazi kukosa hela ni kawaida ila anasurubiwa mtoto Dkt. Gwajima D uimulike hii shule
 
Back
Top Bottom