Simbachawene awataka viongozi wa walimu wasiokuwa na ajira NETO kufika ofinini Dodoma kwa mazungumzo

Kwanza uelewe mi si mwalimu, hata hivyo pilipili usisozila zakuwashia nini, kuajiriwa ni haki yao, badala tuwasapoti tunawatukana? Mbona tuna roho za kichawi hivi?

Kumbe sasa pilipili ya walimu inakuwashia nini??
Kada zote zina haki ya kuajiriwa why walimu kila siku kelele?
Na ndio maana ni kada inayojizolea dharau za bei rahisi sana huku mitaani
Waache kujidekeza na kujiendekeza watafute shughuli wafanye
 
We mwanaharamu kuna mwl amekuja kukuomba unga? Mi nawatetea maana ni kundi lilibarikiwa kwani ni chanzo cha maarifa na wanatimiza malengo ya mwenyenzi Mungu kutoa elimu maana tumeagizwa tutafute elimu na tusimwache akaenda zake. Ukubwa wa mshahara unategemea uchumi wa nchi yetu unawalaumuje km we ni utopolo?
 
Gendaeka unaongea maneno hayapo😅
Et Walimu ni kundi lililobarikiwa🤣 na nini??
Maarifa ya kutafuta shughuli za kufanya wamekosa wanasumbua umma kila siku na kelele za ajira waje wawape watoto wako maarifa??
Na hivi ni kundi la watu walioshindwa shule....waliofaulu shule katika kiwango cha mwisho
 
Kukosa Ajira na Unatumaini la kuajiriwa ni Mbaya sana.

Kuna Ndugu yangu, Kamaliza since 2015, Ajira za Juzi za ualimu aliitwa kwenye Written ila kwenye oral hakuitwa.

Nimeumia sana, Maana ni aina ya watu ambao ni pro teachers hata kwa kuwaona
Duh ni maumivu sio oral ajaitwa yan akufaulu written.ila si kajishikiza sehemu na anafundisha masomo gan?
 
Ni kweli haiwezi kulingana na aina ya watu wanaotuongoza akina mkenda wanaojali familia zao na maslahi Yao pekee. Je kwanini wasiajiri Kwa kuangalia miaka ya kuhitimu mfano kama mtu kamaliza 2015 ataanza kuajiriwa baadae afuate wa 2016 hatimae 2017 na kuendelea na si hii mtu kamaliza 2024 anakuwa anashindanishwa sawa na aliyemaliza 2015/2016. Hiki ndiyo kinachoumiza na kuathiri wahitimu Hadi wanaanza kuwa na chuki na serikali.
Sio fair ila serikali aijali wote mnapiga pepa.
 
"..
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, amewaita ofisini kwake Dodoma kwa mazungumzo viongozi wa vijana waliojitambulisha kwenye andiko lao kuwa ni “Non Employed Teachers Organisation (NETO)” wenye umoja wao kupitia mitandao ya Kijamii.

“Nimesoma makala yao yenye kichwa cha habari "Ombi la Wahitimu wa Ualimu Vyuo mbalimbali Nchini kati ya mwaka 2015-2023 kwa Serikali, andiko lao ni zuri na linaeleweka ingawa linahitaji ufafanuzi zaidi, hivyo ninatoa wito kwa vijana hao kuja ofisini Dodoma kwa mazungumzo”

Pia soma: Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

View attachment 3246235
".....andiko lao ni nzuri na linaeleweka ingawa linahitaji ufafanuzi zaidi". Sasa kama linaeleweka kuna haja ipi ya ufafanuzi?!
 
Back
Top Bottom