Simba wafanye nini kuchukua kombe ligi Kuu Tanzania bara?

Kombe tutachukua tukitaka, mfano mdogo waweza ona ubora wetu msimu huu uliopita umekua imara kuliko 2015-2016 pia tumepata fedha nyingi kushinda hata waliobeba kombe
Utoto raha...Chirwa kanunuliwa 200m..watu wanatafuta heshima kombe..sio vijisenti...toka 2005 mpaka Leo ni miaka 12..Yanga kachukua kombe mara 9...viongozi wenu mbumbumbu wanawadanganya Malinzi anawaonea ..miaka yote hiyo Malinzi alikuwepo....
 
Wameanza tena mipango ya kukosa Kombe.
Wanatema wachezaji 10. Kocha nae anatemwa ili kama kawaida Hans Poppe asajili na baadae wachukue kocha wa Mbao ambaye ataanza moja
 
Back
Top Bottom