Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
Hahahaha....huu mchezo mkiujua mtaacha kupiga kelele humu
Ndy huyo pia alishawahi kuwa kiongozi wa PEREGE FC..na pia ana kadi ya PEREGE FC hadi sasa....Mkuu huyo malinzii si ndio mwenyekiti wa soka mkoani kagera
Kwani mpaka Simba kuongoza ligi si kwa maana alikuwa anapambana uwanjani.. sasa la ajabu lipi ikiwa katika soka kuna sheria na kanuni zake ambazo lazima zitumike mojawapo ni sheria ya kadiYaani simba timu kubwa inalilia points za dezodezo haingii akilini...
Kwanini wasipambane uwanjani mpaka wasubir kukata rufaa poor simba hasa kwa tim kama kagera
Haya simba RapaUnauliza Chupi matakoni?
Mimi ni SIMBA damu lakini namna ulivyowasilisha hoja halafu nikuunge mkono pasipo kukutandika za uso nitakuwa sijajitendea Haki. Simba na yanga ni timu za hovyo na zinaongozwa hovyo hovyo na viongozi tumbo.Baada ya kuonenaka kuwa TFF ya Malinzi, wana Kagera wenzie ( Wahaya ) na Yanga FC wanataka kuiangamiza Klabu ya Simba juu ya points zake na tayari kukiwa na tetesi kuwa huenda leo mchana maamuzi rasmi yakatolewa na Simba SC kupokwa points Uongozi wa Simba umeitisha mkutano wa haraka sana na Waandishi wa Habari katika wanachosema kuwa TFF, wana Kagera ( Wahaya ) na Yanga FC wameamua kumwaga Ugali sasa Simba SC wao wanaenda kumwaga Mboga, Maji ya kunawa, Chumvi, Pilipili ile tuheshimiane hapa mjini kama siyo nchini.
Mpira wa Bongo umeshaharibika leo ndiyo FIFA na CAF watayajua madudu yote ya Malinzi na Watu wake wa TFF.
Hongereni sana Simba SC kwa kuamua Kukinukisha na leo ndiyo leo!
Hivi hao kagera wakipata hizo points wanaenda wapi?wanachukuwa kombe au?zote hizo ni FIGISU ZA MIDABWADA FC...aka PEREGE FC
Kufungwa ni sehemu ya mchezo na ndio maana sisi baada ya kufungwa tumeludi nyumbani na kuanza kujipanga upya sio kuanza kulialia na kutaka points za mezaniMkuu umesahau ile timu imetoka kuongoza moja walipofika kule wakatiwa nne mpaka kupoteana mpaka serikali kutaka kuhamia kwenye sanaa na waziri akasema hana taarifa kuwa wameenda wapi na walikombolewa na mkopo wa malinzi na asingekuwa yeye mngekaa huko mpaka mkome halafu walipotua tu taifa hawakutaka kupanda gari lile la ccm wakapotea kama upepo nadhani ndio aibu kubwa kuliko hii.
Sijawahi kuupenda mpira wa bongoBaada ya kuonenaka kuwa TFF ya Malinzi, wana Kagera wenzie ( Wahaya ) na Yanga FC wanataka kuiangamiza Klabu ya Simba juu ya points zake na tayari kukiwa na tetesi kuwa huenda leo mchana maamuzi rasmi yakatolewa na Simba SC kupokwa points Uongozi wa Simba umeitisha mkutano wa haraka sana na Waandishi wa Habari katika wanachosema kuwa TFF, wana Kagera ( Wahaya ) na Yanga FC wameamua kumwaga Ugali sasa Simba SC wao wanaenda kumwaga Mboga, Maji ya kunawa, Chumvi, Pilipili ile tuheshimiane hapa mjini kama siyo nchini.
Mpira wa Bongo umeshaharibika leo ndiyo FIFA na CAF watayajua madudu yote ya Malinzi na Watu wake wa TFF.
Hongereni sana Simba SC kwa kuamua Kukinukisha na leo ndiyo leo!
Kama hupendi ni hivi washawishi wadau ili hii kanuni iondolewe au iseme hivi Isipokuwa Kwa club ya simba timu zingine zote zaweza kupewa pointi tatu za meza
Mimi kama shabiki wa Simba sikupendele sana hizi Alama za mezani, ningependa Viongozi wetu wajikite zaidi kwenye kucheza mpira na kuisaidia timu kupata matokeo kwenye mechi hizi chache zilizosalia...
Ubingwa hauto noga sana! Kama hizi points zikitusaidia kuwa Mabingwa.
Mpira wa bongo ni kama bongo movie tu, mie siku nyingi nilishaachaga kuangalia... bora kucheki mpira ya watu wanaojua sio siasa za kibongoBaada ya kuonenaka kuwa TFF ya Malinzi, wana Kagera wenzie ( Wahaya ) na Yanga FC wanataka kuiangamiza Klabu ya Simba juu ya points zake na tayari kukiwa na tetesi kuwa huenda leo mchana maamuzi rasmi yakatolewa na Simba SC kupokwa points Uongozi wa Simba umeitisha mkutano wa haraka sana na Waandishi wa Habari katika wanachosema kuwa TFF, wana Kagera ( Wahaya ) na Yanga FC wameamua kumwaga Ugali sasa Simba SC wao wanaenda kumwaga Mboga, Maji ya kunawa, Chumvi, Pilipili ile tuheshimiane hapa mjini kama siyo nchini.
Mpira wa Bongo umeshaharibika leo ndiyo FIFA na CAF watayajua madudu yote ya Malinzi na Watu wake wa TFF.
Hongereni sana Simba SC kwa kuamua Kukinukisha na leo ndiyo leo!
Hata wewe ulilpkea kichapo kwa simba wakiwa pungufuKutoka kuongoza kwa tofauti ya points nane mpaka kufikia hatua ya kulilia points za mezani baada ya kupokea kichapo dhidi ya Kagera Suger hakika hii timi ya Simba inatia aibu
Bila shaka we n shabik w yanga maan ulivyoandika km umetoka ucgzn
Rejea Real Madrid kilichowakuta kwenye Kombe la Mfalme last sesasa hao simba kama walizitaka sana hizo point 3 kwanini hawakushinda ile mechi? waache upuuzi wakusingizia kadi ili kupewa point za huruma, wathibitishe hiyo kadi ilitolewa mechi gani, mwamuzi alikua nani na ilitoka dakika ya ngapi sio kulialia!