Ule msemo wa uchawi aupandi ndege inawezekana ukaja kutimia kule bondeni kwa madiba!
Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila aina ya ushirikina bado wamepewa mechi ngumu na vijana wa madiba!
Kama kawaida yao na jadi yao ya ushirikina ndio vimewanusuru Leo kupata kigoli cha mazonge mazonge na sio uwezo wa timu!
Uwa nasema mara nyingi Simba inabebwa na mambo ya nje ya uwanja ya ushirikina inapokuwa uwanja wa nyumbani ndio maana ya kale kamsemo ka kwa mkapa atoki mtu wanajua nguvu zao za ulozi ziko apo na aziwezi kufua dafu wanapokwenda ugenini kwakuwa uchawi aupandi ndege!
Ndio maana Leo Mpira umekwisha na mashabiki wao wengi wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya barafu na wakati wameshinda wanajua tegemeo lao limeferi la kutumia uwanja wa nyumbani kupata angalau goli 2 wakati kamati ya ufundi imefanya Kila njia imeshindikana sasa kule kwa madiba bila kuwafunga jamaa miguu itakuwaje!
Narudia Tena Simba uwezo wa kikosi chenu ni mdogo sana na apo mnacheza kikombe cha washindwa vipi msimu ujao mkienda kucheza ligi ya mabingwa na kikosi icho si mtatia aibu nyie!
Mchezaji anaumia kocha anashindwa kumtoa kwakuwa wachezaji walioko benchi ni viwango vyao ni tiamaji tiamaji
N:B Kutoa povu ni ruksa lakini ujumbe umefika