Simba itaimarika lini? Leo Kessy anatinga uzi wa Yanga

Naona umemfukulia kaburi, mambo yamegeuka, kilichokuwa huku kimeenda kule, and vice-versa
Walikuwa wanatamba sana Hawa utopolo, ukipitia huu uzi utagundua kwamba kumbe Wanasimba tunahaki ya kuwatania na kuwazogoa wanayanga kwakadri tuwezavyo. Walikuwa na maneno ya shombo sana hawa.
 
Mashabiki wa Simba viongozi wenu wamezifanya hata akili zenu hazifanyi kazi kabisa mnahitaji msaada wa kuwazindua fikra zenu.Uongozi wa Yanga umejitahidi sana kukaa na wachezaji wake kwa muda mrefu
Bartez,Dida,Yondani,Haroub,Twitte,Oscar Joshua,Niyonzima,Msuva,Juma Abdu hawa wanacheza pamoja kwa msimu wa nne mfululizo .Simba baada ya kuvuruga kile kikosi cha kina Kaseja,Shamte, Okwi,Sunzu,Mafisango (R.I.P),Yondani,Kapombe,Maftah,Cholo,Boban,Nyoso hawajawahi tena kutengeneza timu hadi leo

1.Yanga kumsajili Kessy tena free ndio unasema inatumia hela vibaya,hivi unafahamu Simba imepoteza kiasi gani kwa miaka 5 iliyopita kwa kufukuza makocha na usajili mbovu alioufanya Hans Pope

2.Unajua Simba imeshapata karibia 600 m za usajili wa Okwi na zinaliwa na wajanja na ,kumuongezea mkataba huyo Kessy hata mil 40 isingefika

3.Unajua wale wachezaji vijana wa Simba B ambao Matola aliwatengeneza(Edo Christopher,Singano,Chanongo,Seseme,Adam,Lucian now wamebaki Mkude na Ndemla tu

4.Kuifananisha Yanga au Simba na Mazembe,Esperance,Al Ahly ni sawa na kuifananisha Taifa Stars na Timu za Taifa za Kongo,Misri na Tunisia naamini jibu unalo
Bado upo hai?
 
4.Kuifananisha Yanga au Simba na Mazembe,Esperance, Al Ahly ni sawa na kuifananisha Taifa Stars na Timu za Taifa za Kongo,Misri na Tunisia naamini jibu unalo
Hebu uje urudie tena! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
So Leo Simba imeizidi Ahly,Mazembe na Esperance ?
Hoja yako ilikuwa 'kuifananisha', na sio 'kuizidi'. Hii hapa:

4.Kuifananisha Yanga au Simba na Mazembe,Esperance,Al Ahly ni sawa na kuifananisha Taifa Stars na Timu za Taifa za Kongo,Misri na Tunisia naamini jibu unalo

Kwa kuwa ni kuifananisha, nasema kwa Simba nisawa kabisa bila shaka, ila Yanga itoe kabisa
 
Hoja yako ilikuwa 'kuifananisha', na sio 'kuizidi'. Hii hapa:



Kwa kuwa ni kuifananisha, nasema kwa Simba nisawa kabisa bila shaka, ila Yanga itoe kabisa
Ahly bingwa mara 9
TP Mazembe bingwa mara 5
Esperance bingwa mara 4
Simba bingwa mara 0

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Ahly bingwa mara 9
TP Mazembe bingwa mara 5
Esperance bingwa mara 4
Simba bingwa mara 0

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Ahaa, kumbe unaangalia historia kama mlivyozoea jiografia! Ujue tunazungumzia wakati uliopo. Ukitaka kuzungumzia yaliyopita, zipo timu kama Hafia Conacry ya Guinea zilizochukua ubingwa wa Klabu Bingwa CAF karne iliyopita, lakini sasa hivi zimepotea hata Namungo ina nafuu. Sasa hiyo huwezi kuiweka juu ya timu iliyo iliyo on fire kwa sasa
 
Kila siku mnaongeaga hivi hivi mtaendelea kuwa wa Matopeni nyie wa Hapa Hapa fc.

Dah! Kweli maisha yanakwenda kasi sana πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani Uto walikuwa na jeuri ya kufa Mtu 🐸🐸

Eti Wamatopeni
Eti Wa Hapahapa 🀣🀣

Kila kitu kimegeuka
 
Wamatopeni bwana, yaani kwa akili yako mchezaji mwenye akili zake timamu atakaa mwaka mzima hajapanda ndege halafu asitake kuhama?

Kumbe ulijua kuwa Morrison atahama Uto ili aje Simba kupanda Ndege baada ya kuchoka na safari za Mabasi za Ifakara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸ€£
 
walikataa kumpa mo kisa waliona wale frnds of simba, na wale wanakula kodi za jengo la simba hawatafaidi.. kwa sasa wajipange upya au wabadili mchezo maana ipo mingi, na sindimba ikiwemo huko watashinda..

simba asanteni kwa kushiriki

Baada ya Mwakalebela kutishia kuwa Uto watajitoa kwenye Lege mapendekezo yaliyopo ni kuwa Mchezo wa REDE ndiyo unaowafaa zaidi kujiunga nao. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom