unamuuliza nani?
Ye yote
unamuuliza nani?
Azam sio timu ya wanachama. Ina mmiliki wake ambaye anaweza kufanya lolote kuhusu Azam. Yanga ni timu ya wanachama ingawa ada ya uanachama wanalipiwa na mtu mmoja ili wawe na sifa za kupiga kura, huku anayewalipia akiwa ni mmoja wa wagombea!Wa Azam wanasajiliwa kwa kujitolea? Wanafika raundi ya ngapi?
Mashabiki wa Simba viongozi wenu wamezifanya hata akili zenu hazifanyi kazi kabisa mnahitaji msaada wa kuwazindua fikra zenu.Uongozi wa Yanga umejitahidi sana kukaa na wachezaji wake kwa muda mrefuBila kujali nani anaitolea hela zote klabu, point yangu ni kwamba nia ya mtoa fedha huyo ni biashara au ni ubingwa wa bara? Kama ni biashara, njia pekee ya kurudisha hizo hela ni kuzipata hela za CAF (na hapo ndipo Mazembe, Al Ahly, Esperance etc zinapotajirikia). Na ili uzipate hela za CAF, ni lazima ucheze hatua ya makundi ya Klabu Bingwa (ile ya Kombe la Washindi kuna hela pia, ila huwa sio ndefu kama Ligi ya Mabingwa). Sasa kama unasajili wachezaji kuikomoa timu pinzani na sio kuangalia kikosi cha kutinga hatua ya makundi, kila la heri. Leta hela vijana wajichotee, wakitolewa raundi ya pili watazuga kulia uwanjani kumbe moyoni wanachotaka ni mahela yako tu. Kila la heri
Swala ni (1) Wachezaji wake wanasajili bure? (2) Yenyewe inaishia raundi ya ngapi?Azam sio timu ya wanachama. Ina mmiliki wake ambaye anaweza kufanya lolote kuhusu Azam. Yanga ni timu ya wanachama ingawa ada ya uanachama wanalipiwa na mtu mmoja ili wawe na sifa za kupiga kura, huku anayewalipia akiwa ni mmoja wa wagombea!
Kwa faida yako na wasomaji wengine wa JF, jipu kuu pale Simba ni Kaburu na yule bwana Makofia.Nimefurahishwa Na taarifa za mchezaji Hassan Messy"Mamluki" kukamilisha usajili wake Yanga.Mchezaji huyu alikuwa akikanusha kuwa hausiki kuihujumu Klabu ya Simba lakini kitendo chake cha kujiunga Na Yanga ni Ushahidi tosha.Naupongeza Uongozi wa Klabu ya Simba kuachana Na wachezaji wenye tamaa Na kufikia hatua ya usaliti.Kuanzia Leo nawaomba wapenzi wote wa Klabu ya Simba kumbatiza jina la kimchezo mchezaji huyu kuwa Hassan Kessy "Msaliti"
Who is next after hassan Kessy???Nimefurahishwa Na taarifa za mchezaji Hassan Messy"Mamluki" kukamilisha usajili wake Yanga.
Mchezaji huyu alikuwa akikanusha kuwa hausiki kuihujumu Klabu ya Simba lakini kitendo chake cha kujiunga Na Yanga ni Ushahidi tosha.Naupongeza Uongozi wa Klabu ya Simba kuachana Na wachezaji wenye tamaa Na kufikia hatua ya usaliti.
Kuanzia Leo nawaomba wapenzi wote wa Klabu ya Simba kumbatiza jina la kimchezo mchezaji huyu kuwa Hassan Kessy "Msaliti"
kwa hiyo ulitaka acheze simba miaka yote?mchezaji akihamia yanga Ni msaliti?SI mlikataa kumpa mkataba mpya ulitaka afanye nn?kwake yy mpira kazi we shabiki ye anatafuta hela.Nimefurahishwa Na taarifa za mchezaji Hassan Messy"Mamluki" kukamilisha usajili wake Yanga.
Mchezaji huyu alikuwa akikanusha kuwa hausiki kuihujumu Klabu ya Simba lakini kitendo chake cha kujiunga Na Yanga ni Ushahidi tosha.Naupongeza Uongozi wa Klabu ya Simba kuachana Na wachezaji wenye tamaa Na kufikia hatua ya usaliti.
Kuanzia Leo nawaomba wapenzi wote wa Klabu ya Simba kumbatiza jina la kimchezo mchezaji huyu kuwa Hassan Kessy "Msaliti"
Who is next after hassan Kessy???
Na ndicho kinachosababisha hata kutofautiana kwenye msimamo wa ligi.Mkuu kweli simba ipo hakuna anaebisha lkn simba kwa ubora wake ni sawa na mwadui ya Julio.
Atakuwa sub wa Juma Abdul pale namba 2 halafu kilaka Twite anarudi kuwa sub wa pale kati sasaKessy mbona sioni kama ni mchezaji wa kiwango cha kuichezea Yanga??
Mkuu, sasahivi ni zamu yenu kuumia.kwahio simba mnafanya kama wenger vile hamtaki kupoteza mahela..ila kweli mnafanana na arsenal
Mkuu, tukumbushane kidogo.Mkuu, asante kwa taarifa hizi. Inaonekana na fedha ndefu lakini bahati nzuri ulitoa mfano wa Katumbi au tusiende mbali Azam hapa Tanzania.
Hela anayotumia Katumbi au mzee Bakhresa kwenye usajili, mishahara, usafiri nk ni kiasi gani kwa mwaka mzima?
Hapo nimeacha makusudi ile initial investment kama uwanja nk. Chelsea kwa sasa wanaweza kuwa wanapata faida kwa maana ya matumizi na mapato ya mwaka. Imechukua miaka mingapi? Na usisahau wanaingiza fedha toka vyanzo vingi tu ukiacha hela za mlangoni. Hela ya Roman sidhani kama itarudi kirahisi.
Unayo idea budget ya kuendesha timu kama Simba kwa mwaka ni kiasi gani?