Siasa za Tanzania -Bendera na kadi zapangwa kuchomwa U/Taifa

a4846d9f879dfa394c179f8bdc588c70.jpg


No caption
 
wapiga kura ndio wanaamua sio wingi wa wanachama. cdm yaweza kua na wavuta bangi na walimbwende wote tanzania ila wananchi ndio kwa busara yao wataamua kama waongezwe na wavuta bangi na wapiga picha za utupu au vipi. chama chaweza kua na wanachama wachache waadilifu na hodari kuongoza wakakabidhiwa kuongoza nchi na wananchi.


Hivi unajua ulichokiandika?, democracy inasema wengi wape, niambie nchi moja toka kuumbwa kwa dunia kilikuwa na wanachama 50,000 wenye akili na heshima wakashinda Chama chenye wanachama vibaka na makahaba 10,000,000
 
Hivi kwel unaamini sms atashindwa 2020 hizo ndoto sana na HAITOTOKEA upinzani uchwara leo hii ata sms wakibakiwa na wale viongoz tu lakin mpaka kufikia 2020 July wanarudi chamani, mtu kwa nje chadema alafu anapiga kura sms.


Chama kinachojiami huwa hakitumii dola kutawala, kama wanajiamini Wako sawa mbona wanazuia Uhuru wa habari na kuzuia vyama vya siasa kufanya mikutano?
 
Back
Top Bottom