kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,040
- 11,342
Yani watu kwenda kuangalia mpira tu mshachizi.kazi mnayo!..Nyumbu Wa kina Wema

Wewe ndo hulijuiIna maana umekorogwa akili mpk jina la wema ushalisahau wiki hii tu?wkt unashinda insta na fb
Wengine Walisema alitumwa na ccmCcm nao wanalia kufanyia hujuma na Wema....only Tanzania..mnakusanya kodi kwann msifanye maendeleo watu waamini.
Ccm nao wanalia kufanyia hujuma na Wema....only Tanzania..mnakusanya kodi kwann msifanye maendeleo watu waamini.
wapiga kura ndio wanaamua sio wingi wa wanachama. cdm yaweza kua na wavuta bangi na walimbwende wote tanzania ila wananchi ndio kwa busara yao wataamua kama waongezwe na wavuta bangi na wapiga picha za utupu au vipi. chama chaweza kua na wanachama wachache waadilifu na hodari kuongoza wakakabidhiwa kuongoza nchi na wananchi.Ninachokiona ccm mmeumia sana kitendo cha Wema kuondoka, ila nakukumbusha Chama chochote duniani mtaji wake ni wanachama haijalishi hao wanachama wanatabia gani, kuna mambo ya kijinga yanapita bungeni kwa kuwa bunge linawabunge wengi wasiojielewa kwa kuwa democracy inasema wengi wape basi hoja zenu zinapita bungeni, upinzani kwa sasa wamefocus kwenye kutafuta wanachama ili kura ziweze kutosha haijalishi hao wanaoongeza kura wanatabia gani, endeleeni kufukuza wanachama mnaowahisi walitumika kumuunga mkono lowassa majibu mtayapata 2020
Mijitu mingine bana!!! imekaa ki-Korombwee ... yani unaandika kitu kama Lingagae flani hivi*CHADEMA KUENDELEZA MAIGIZO UWANJA WA TAIFA.*
Ama kweli amlipaye mpiga zumari ndiye huchagua wimbo.
Kwa taarifa zilizopo CHADEMA imepanga kutumia mechi baina ya Simba na Yanga kujinufaisha kisiasa.
Kitengo cha propaganda cha Chadema chini ya kijana aliyepata kuwa kiongozi wa 4U movement *kimeandaa vijana 200 vijana hawa WAMEANDALIWA mahsusi watakuwa wamenyweshwa pombe na malipo ya 100,000 kwa kila mhusika*.
Kila kijana atakuwa na kadi ya ccm na mwanzoni katikakati au mwishoni kwa kadri mazingira yatakavyoruhu *watachanachana kadi za ccm walizopewa kuonesha kumuunga mkono WEMA SEPETU* ambaye nae ameandaliwa kuwepo uwanjani.
Hii ni kutaka kuiaminisha jamii kuamini kuwa WEMA ANA KUNDI KUBWA LA WATU LIMEAMUA KUMFUATA. Huu ni usanii tena ni hatari siasa kupelekwa kwenye michezo.
*NGOJA TUSUBIRI HUU MKAKATI WA WACHANA KADI ZA CCM.*
Kwanza mtu ataendaje mpirani na kadi ya chama mfukoni?
*CHADEMA ENDELEENI KUJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE.*
Maccm bana...makosa mnafanya wenyewe halaf mnaanza kuweweseka!*CHADEMA KUENDELEZA MAIGIZO UWANJA WA TAIFA.*
Ama kweli amlipaye mpiga zumari ndiye huchagua wimbo.
Kwa taarifa zilizopo CHADEMA imepanga kutumia mechi baina ya Simba na Yanga kujinufaisha kisiasa.
Kitengo cha propaganda cha Chadema chini ya kijana aliyepata kuwa kiongozi wa 4U movement *kimeandaa vijana 200 vijana hawa WAMEANDALIWA mahsusi watakuwa wamenyweshwa pombe na malipo ya 100,000 kwa kila mhusika*.
Kila kijana atakuwa na kadi ya ccm na mwanzoni katikakati au mwishoni kwa kadri mazingira yatakavyoruhu *watachanachana kadi za ccm walizopewa kuonesha kumuunga mkono WEMA SEPETU* ambaye nae ameandaliwa kuwepo uwanjani.
Hii ni kutaka kuiaminisha jamii kuamini kuwa WEMA ANA KUNDI KUBWA LA WATU LIMEAMUA KUMFUATA. Huu ni usanii tena ni hatari siasa kupelekwa kwenye michezo.
*NGOJA TUSUBIRI HUU MKAKATI WA WACHANA KADI ZA CCM.*
Kwanza mtu ataendaje mpirani na kadi ya chama mfukoni?
*CHADEMA ENDELEENI KUJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE.*
Mambo ya utasa yanatoka wapi? Hata wewe waweza kuwa mgumba within a second acha kumkufuru Mungu!Ahsante mkuu kwa taarifa,naona Manyumbu uchwala ya Chagadema yamepaniki kwasababu umefichua siri yao...
Kumbe wanataka kujifanya wana watu kumbe hewa?!
Ameshindwa Lowassa na mvi zake ataweza Wema na utasa wake?!..
Lakini vipi kuhusu aliyosema mtoa mada, ni uzushi ama pana ukweli?Huyu mzee ni mtu mzima kuliko Le Mutuz kiumri, lakini akili yake ni kisoda, Le Mutuz ana akili kuliko Frey Cosseny kabisa...
Katika makuzi ukiruka kipengele kimoja tu, utazeeka vibaya sana...
Machadema majinga, acha yajitekenye yanadhani wema ana impact kubwa kwa siasa za bongo! Hana kitu zaidi sana labda aje uwanjani uchi kama alivyozoea*CHADEMA KUENDELEZA MAIGIZO UWANJA WA TAIFA.*
Ama kweli amlipaye mpiga zumari ndiye huchagua wimbo.
Kwa taarifa zilizopo CHADEMA imepanga kutumia mechi baina ya Simba na Yanga kujinufaisha kisiasa.
Kitengo cha propaganda cha Chadema chini ya kijana aliyepata kuwa kiongozi wa 4U movement *kimeandaa vijana 200 vijana hawa WAMEANDALIWA mahsusi watakuwa wamenyweshwa pombe na malipo ya 100,000 kwa kila mhusika*.
Kila kijana atakuwa na kadi ya ccm na mwanzoni katikakati au mwishoni kwa kadri mazingira yatakavyoruhu *watachanachana kadi za ccm walizopewa kuonesha kumuunga mkono WEMA SEPETU* ambaye nae ameandaliwa kuwepo uwanjani.
Hii ni kutaka kuiaminisha jamii kuamini kuwa WEMA ANA KUNDI KUBWA LA WATU LIMEAMUA KUMFUATA. Huu ni usanii tena ni hatari siasa kupelekwa kwenye michezo.
*NGOJA TUSUBIRI HUU MKAKATI WA WACHANA KADI ZA CCM.*
Kwanza mtu ataendaje mpirani na kadi ya chama mfukoni?
*CHADEMA ENDELEENI KUJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE.*
Hivi hii tetesi ni kweli kumbe ?
Hivi kwel unaamini sms atashindwa 2020 hizo ndoto sana na HAITOTOKEA upinzani uchwara leo hii ata sms wakibakiwa na wale viongoz tu lakin mpaka kufikia 2020 July wanarudi chamani, mtu kwa nje chadema alafu anapiga kura sms.Ninachokiona ccm mmeumia sana kitendo cha Wema kuondoka, ila nakukumbusha Chama chochote duniani mtaji wake ni wanachama haijalishi hao wanachama wanatabia gani, kuna mambo ya kijinga yanapita bungeni kwa kuwa bunge linawabunge wengi wasiojielewa kwa kuwa democracy inasema wengi wape basi hoja zenu zinapita bungeni, upinzani kwa sasa wamefocus kwenye kutafuta wanachama ili kura ziweze kutosha haijalishi hao wanaoongeza kura wanatabia gani, endeleeni kufukuza wanachama mnaowahisi walitumika kumuunga mkono lowassa majibu mtayapata 2020
Samahani naomba muulize Yericko Ben kajificha wapi maana nae aliwahi kujitekaUkiona mtu anakana wazazi wake na kujiita jina la ukoo mwingine Ujue Kuna something wrong. Kaka ushoga Mwisho feri sawa yeriko
Duh hatariii hiyo kakaAhsante mkuu kwa taarifa,naona Manyumbu uchwala ya Chagadema yamepaniki kwasababu umefichua siri yao...