Siasa za Tanzania -Bendera na kadi zapangwa kuchomwa U/Taifa

Ccm nao wanalia kufanyia hujuma na Wema....only Tanzania..mnakusanya kodi kwann msifanye maendeleo watu waamini.

Kwa vile Wema mahakamani alikaa kiti cha Mbele ana nguvu kisiasa!

Ulichoandika ni upuuzi. Wema hata ujumbe wa nyumba kumi hapati CCM. Kwa
 
wapiga kura ndio wanaamua sio wingi wa wanachama. cdm yaweza kua na wavuta bangi na walimbwende wote tanzania ila wananchi ndio kwa busara yao wataamua kama waongezwe na wavuta bangi na wapiga picha za utupu au vipi. chama chaweza kua na wanachama wachache waadilifu na hodari kuongoza wakakabidhiwa kuongoza nchi na wananchi.
 
Mijitu mingine bana!!! imekaa ki-Korombwee ... yani unaandika kitu kama Lingagae flani hivi

Mkaramba wewe aliekwambia Siasa na michezo havihusiani ni nani ... Tatizo mnashabikia mambo wakati hamna elimu nayo ... fuatilia asili na kampeni za ukombozi Africa kusini kutoka katika siasa za ubaguzi wa rangi ilianzia wapi ... Ukipata jibu tafadhali futa huo uzi wako ...

Hii yote nikua nyie na wale viongozi wenu wenye viherehere mna vyeti vya kugushi halafu mnakurupukia mambo wakati elimu nayo hamna ... matokeo yake mnakigharimu Chama kwa kuonesha ukihiyo wenu ... mkiambiwa ooh! uchochezi ...

Ndio mana yule jamaa muenezi wenu kaona ajikalie kimya tu ...
 
Maccm bana...makosa mnafanya wenyewe halaf mnaanza kuweweseka!
 
Ahsante mkuu kwa taarifa,naona Manyumbu uchwala ya Chagadema yamepaniki kwasababu umefichua siri yao...
Kumbe wanataka kujifanya wana watu kumbe hewa?!

Ameshindwa Lowassa na mvi zake ataweza Wema na utasa wake?!
..
Mambo ya utasa yanatoka wapi? Hata wewe waweza kuwa mgumba within a second acha kumkufuru Mungu!
 
Wema Sepetu ataukwaa ubunge wa viti maalum kupitia chadema hivi karibuni na mambo yatakuwa yamemunyokea. Amshukuru Makonda kwa kumpalilia njia. Neema huja kwa njia tofauti tofauti.
 
Machadema majinga, acha yajitekenye yanadhani wema ana impact kubwa kwa siasa za bongo! Hana kitu zaidi sana labda aje uwanjani uchi kama alivyozoea
 
Hivi hii tetesi ni kweli kumbe ?

Wema Sepetu pia ndani ya gwanda leo Taifa, yaani wiki hii tunaiba show ya magazeti , kesho na kesho kutwa ni simba na yanga plus Lowasa na Wema Taifa, halafu wiki ijayo , show inahamia Kisutu ni Tundulisu, Mbowe , Wema...

Makonda anataka jinyonga alipo press yake ya jana imeandikwa gazeti la uhuru tu hahahahahaha
 
Hivi kwel unaamini sms atashindwa 2020 hizo ndoto sana na HAITOTOKEA upinzani uchwara leo hii ata sms wakibakiwa na wale viongoz tu lakin mpaka kufikia 2020 July wanarudi chamani, mtu kwa nje chadema alafu anapiga kura sms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…