Shukran kwa wote mnaotupenyezea nyaraka na taarifa za siri za ubadhilifu na zimefanyiwa kazi

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
16,160
33,524
Habari za Majukumu wapendwa!

Ninafarijika kuona Watanzania wanaoipenda nchi yao bado wapo na wanaendelea kuwapo, hawajali hcama wala kabila au dini!

Nimepokea zaidi ya PM za siri ambazo sitakuja kuziainisha popote kwa kulinda siri za watoa habari, uzuri hizo nyaraka na kumbe za siri zimewasilishwa kwenye taasisi mbalimbali bila kujua nani kaziwasilisha anonymously!

Data za niliyoyawasilisha taasisi kadhaa;

~ TAKUKURU - 123 mpaka sasa.

~ Polisi - 64 japo ushirikiano wa Polisi unakuwa hafifu sana, wanatakaga pesa.

~ Uhamiaji - 31 na ni wasikivu sana hawa, wanafanya kazi kwa weledi, big up Uhamiaji.

~ Airport - Hapa Wanazubaa hata mchakato wa kuchakata vibali feki Kenya ionekane vimetokea kwenye airport’s zetu, nimereport mara kwa mara lakin hawana ushirikiano sana. Hata yale madini vibali vyake vilitengenezwa sehemu, nina ushahidi hawakunisikiliza baada ya madini kukamatwa ndiyo wanasumbua sumbua sasa!

~ Polisi usamala barabarani - Hawa ni rushwa kwenda mbele, hata leo kuna taarifa niliwatumia muhimu kuhusiana na mzigo wa Namanga ila wao pesa tu!

~ NACTE/NECTA - Nafurahi sana matunda yameanza kuonekana leo.

Kuna watu wamejitoa kufichua kila jambo, yaani kila jambo, hivyo unavyopata jambo liwasilishe sehemu husika, ukiogopa basi mfuate mtu na uzuri nimeona hapa JF tuna option ya fichua maovu.

Mwisho tupendane watanzania, tumuunge Mama mkono na pia tupiganie maendeleo yetu!

Britanicca
 
Kila kitu kipo sawa mapaka ulipo sema tumuunge mkono mama.

Sisi tunasimama na Taifa letu sio na mtu.
 
Wewe Britannicca ni nani hasa nchi hii? Mbona mnapenda kujipa umuhimu usio na maana?
 
Back
Top Bottom