Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?

Mara News Alert: - Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
P
 
Hizi teuzi za kila siku zinaonyesha dhahiri shahiri hitaji la haraka la KATIBA MPYA Tanzania.
 
Naunga mkono hoja。
niliuliza humu Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?
kisha nikauliza Hizi pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao zote zina maslahi kwa taifa au kuna flip-flops ?.
kisha nikashauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
P
 
Leo umeongea bila uchawa na ukada. Na katiba ya.warioba ndio ingetuondolea hawa wanaoteuliwa sababu.ni.mwenzetu anasema fatma katume
 
"Katika mazingira ya kujipakulia minyama nivigumu Sana kujikatalia unachokipenda"

Labda mbeleni huko tupate kiongozi asiye na tamaa na epende kweli demokrasia na ujamaa kadiri ya katiba, vinginevyo n ngumu.

Moja ya eneo nyeti kwenye katiba n mamlaka ya Raisi sasa hapo ukigusa Tu,wanaofaidika na mfumo uliopo watapinga Tu 😂🤣🤣

Vyeo vingi vya kuteuliwa vinaviashiria vya kujuana na kufahamiana,sasa ulete mazingira ya minyukano na watu wameshaandaa kasaiko kao🤣🤣🤣.

Kwa vyovyote vile elimu kuhusu faida ya katiba mpya inabidi kuzidi kutolewa kwa Kila kiumbe cha Tanzania kwa ajili ya faida siku zijazo.
 
Huwa nashindwa kuelewa.sana maamuzi ya kitaalamu kwenye mawizara maana watumishi.wengine.tunakutana nao.semina yaani.wanawaza posho tuu na.sio knowledge atakayoipata ataenda kui apply vipi eneo lake.la.kazi.

Halafu cv za watu.wetu nyingi zina.mkanganyiko mkubwa na majukumu.wanayopewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…