Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,843
- 119,615
- Thread starter
- #81
Mara News Alert: - Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa RaisWanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?.
Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?.
Paskali
- Jee tumefika wakati teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Kama posts za majaji, Gavana wa BOT, GAG, zina kipengele cha security of tenure, rais anaweza kuwateua tuu lakini hawezi kutengua, ili wafanye kazi kwa uhuru, yaani indepent, na sio kuteuliwa kwa hisani, hivyo kuwajibika kwa hisani ya kutegemea huruma ya mteuzi hivyo kufanya kazi kwa nidhamu ya woga ?
- Should we adopt the American System of Government Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Watanzania wenye sifa waombe, wachujwe, wateuliwe, waidhinishwe na Bunge na kutimiza majukumu yao independently bila kutegemea hisani au huruma ya mtu yoyote?.
- Kwa hali ilivyo sasa hizi teuzi za at presidents pleasure, siku rais ameamka vizuri, akifurahi, mtu unalamba teuzi, siku akiamka vibaya, unatumbuliwa!. Do we still need this?.
P