Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,838
- 119,606
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?.
Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?.
Tangu kutumbuliwa kwa Top Diplomat No. 1 kwa Tanzania, Waziri wa Nje, Balozi Liberata Mulamula, bila kutolewa sababu zozote, huku kwenye mitandao ya kijamii kumelipuka kila mtu akisema lake na watu kuzua sababu mara ni Mama kupandishwa "School Bus London", mara "She is American Subject", mara "ni wivu wa kike kwani Balozi apige picha na naniliu, alipaswa pale awe mama, hivyo mama amemind", mara... mara, mara alumuradi kila mtu anasema lwakwe!,
Tanzani tumepata uhuru toka kwa Waingereza, hivyo tukaiga mfumo wa serikali wa Uingereza ambapo mawaziri ni wabunge. Katiba yetu pia ikampa rais mamlaka ya kuteua wasaidizi wake atakavyo bila kutoa sababu na huwatumbua atakavyo bila kuwajibika kutoa sababu, yaani hiring and firing as she pleases kwasababu the appointment imefanywa with the president's pleasure hivyo kutumbua as she pleases na hatuna haki kuuliza sababu!, huku ni kumuingilia rais!. Hakuna rais aliyeteua na kutumbua kama JPM, na sikumbuki kuona watu wakidemand kuambiwa sababu kama sasa.
Kwenye uteuzi na utumbuzi wa majipu, enzi za JPM, mimi nilipandisha hoja hoja zaidi ya 100!, nakuwekea baadhi kwa wenye muda

-
- Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!
- Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.
- Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma
- Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi?
- Rais Magufuli: Utumbuaji majipu usitafsiriwe kama ukatili
- Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The Right Time, And Doing It Right, Or ?!
- Mafanikio ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) chini ya Juliet R. Kairuki
- Utumbuaji: Tuache Siasa Kwenye Professionalism, Sio Kila Mtumbuliwa ni Jipu!
- Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete?!
- Majipu yaliyotumbuliwa kwa mbwembwe yarudishwa kimya kimya?
- Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!
- Napenda utumbuaji majipu lakini sipendi demokrasia ikikandamizwa nchini
- Ntibenda: Kama kuondolewa kwangu kama RC Arusha kuna mkono wa mtu; Mungu atalipa
- Nimetishwa, kushitushwa na kuogopeshwa na kauli hii ya Rais Magufuli. Alimaanisha nini?
- Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote
- Jee sasa should we demand more right to Information and more transparency kwenye teuzi za key posts?. Sasa hivi tunaishi kwenye the world of information power, jee sasa tuhitaji rais akiteua, atoe sababu za kumteua fulani kwenye key posts, na siku akimtumbua, pia atoe sababu kwanini amemtumbua?, au tuendelee na utaratibu wetu, wa rais kujiteulia yoyote bila kutoa sababu kwa yeyote na siku akitumbua, ni kujitumbulia tuu bila kuwajibika kutoa sababu yoyote kwa yeyote hata kama mtumbuliwa hana kosa lolote?. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!, hivyo hata huu utumbuaji tusihoji?.
- Jee tumefika wakati teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Kama posts za majaji, Gavana wa BOT, GAG, zina kipengele cha security of tenure, rais anaweza kuwateua tuu lakini hawezi kutengua, ili wafanye kazi kwa uhuru, yaani indepent, na sio kuteuliwa kwa hisani, hivyo kuwajibika kwa hisani ya kutegemea huruma ya mteuzi hivyo kufanya kazi kwa nidhamu ya woga ?
- Should we adopt the American System of Government Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Watanzania wenye sifa waombe, wachujwe, wateuliwe, waidhinishwe na Bunge na kutimiza majukumu yao independently bila kutegemea hisani au huruma ya mtu yoyote?.
- Kwa hali ilivyo sasa hizi teuzi za at presidents pleasure, siku rais ameamka vizuri, akifurahi, mtu unalamba teuzi, siku akiamka vibaya, unatumbuliwa!. Do we still need this?.