The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,604
- 14,794
Siku CCM wakitoka madarakani ndiyo tutaanza kujua ni vipi CCM wametuonea na kutunyanyasa kwa muda wa miaka 60. Kwa Sasa ni vigumu mno watu kuona au kuelewa hilo ingawa Lissu na CDM wanajitahidi kuwasomesha wananchi.Gharama za uchaguzi haziihusu CCM, vyama vya upinzani vinatakiwa kuzingatia kikomo kilichowekwa na NEC vinginevyo vitachukuliwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kupoteza sifa za kugombea.