Sherehe za Mapinduzi: Fahali wawili hawakai zizi moja

Jana nilifurahi kuona Viongozi wangu wakuu waliopo Madarakani na Wastaafu wakiwa pamoja kuangalia Michezo mbalimbali ya Majeshi ya Nchi yetu.
Hongera Zanzibar na watanzania kwa Ujumla,
Kwangu Mimi Jana Sherehe za Mapinduzi zilifana sana.
Lakini pia Hongera Mama Zetu kuwa ktk Fursa Mbalimbali Mumewatia Moyo Dada Zetu, Mungu awabariki!
 
Shinyanga ni mkoa mkubwa kuliko huo wa Zanzibar so wengi wape.Pili imba nyimbo zote upendavyo lakini amiri jeshi mkuu ni mmoja tu naye ni JPM fullstop!
Kwanini yule mwingine apigiwe mizinga 21 na askari wa JWTZ (Mali ya Tanzania) na sio wale wa JKU ambao ndio mali za Zanzibar?
 
Kwa vile hujui kuwa makubaliano yalikuwa sherehe hizi ziazimishwe pande zote za Muungano. Sasa wewe kitu usichokijua unakurupuka na kuandika utumbo. Ujinga utawafikisha wapi. You don't have right to speak if you have no empirical justification, otherwise you will be gossiping.
Huwezi kunifundisha na hasa hizi za muungano. Sherhe tokea 1965 zinasheherekewa kitaifa Zanzibar. Na mara zote ikitokea kiongozi mkuu wa Tanzania ameshindwa kuhuduria hutolewa taarifa au mnyukuano umeanza. Kwa akilia zako unaweza kusema nimeandika utumbo , na uhuru hu unao, lakini na wasiwasi kama husumbuliwi na mawazo mgando na muono wa kusufurika
Maneno ya wakosaji:)
Maneno ya mipasho, kwao Lumumba na Kisonge!
 
Malawi haina ugomvi naye wa mpaka aamrishe majeshi kwa sababu ipi?
Kama ndio imani yako kwamba tuna amiri jeshi wawili, basi mwambie huyo mwingine aamrishe majeshi yakaitwange Malawi tuone kama yatatii amri yake.
 
Nyie UKAWA badala ya kujipanga kwenda kumtoa Lema, Lijualikali na kumtafuta Ben Saa 8. mnakomaa kujadili kwa nini JPM hakwenda Zanzibar. yaani nyie UKAWA kwa kweli hamjitambui. Sasa hi inawahusu nini wakati hii ni serikali ya CCM.?

Ya kwenu yamewashinda, mnakaa kujadili ya jirani zenu. amaa kweli mjinga ni mjinga tuu.
Acha mambo ya uchama hii nchi n ya watanzania wote ina maana akipotea mwana ccm na watu wa ukawa waanze kuzungumza lugha za kichok* o mbona uzalendo hakuna mtanzania n kama ndungu yako likimpata hata akiwa sio kabila au chama chako support ni muhimu kwa wotu. Period
 
Ukubwa wa pua sio wingi wa mafua.Huwezi kuifanananisha Zanzibar na Shinyanga, ni matusi makubwa. Hebu andika neno Zanzibar , tena kwa kulikosea kwenye chombo chochte cha IT na neno Shinyanga, Chombo hicho kita sahihisha jina la Zanzibar na Shinyanga litapiga mstari kwenye jina la Shinyanga, kwa vile halijuulikani kabisa duniani.

Hivi uliwahi kusikia kwenye uchaguzi mbulu au Shinyanga kupelekwa majeshi, vifaru na mabazooka.? Hivi hujui Zanzibar pia kuwa kuna uchaguzi tena wa Jimbo sio udiwani au mwenyekiti wa kijiji.

Na hao wanaojikita kuchuna watu ngozi na kuwaua Albino bdala ya kuumiza vichwa kwa mambo ya maendeleo unawaambiaje?

Nadhani iliwahi kutokea wakati wa Karume na Nyerere picha zilikuwa haziendi. Kawawa alimuwakilisha lakini waliwekwa mstari wa mwisho nyuma kwenye jukwaa la uwanja wa Amaan.

JPM kutokwenda Zanzibar ni sahihi.
lakini kwenda kufanya sherehe ya mapinduzi Shinyanga sisawa kabisa.
Sherhe za uhuru za Tanganyika haziwezi kufanywa kitaifa Zanzibar lakini zawezwa kufanywa kokote tanganyika.

Leo mkuu wanchi ambayo ni mbia katika Muungano hayupo tena kwa makusudu hilo ni kasoro tena ya faa kuchunguzwa kwanini , iweje, au kuna nini
na wasilisha hoja
 
Acha mambo ya uchama hii nchi n ya watanzania wote ina maana akipotea mwana ccm na watu wa ukawa waanze kuzungumza lugha za kichok* o mbona uzalendo hakuna mtanzania n kama ndungu yako likimpata hata akiwa sio kabila au chama chako support ni muhimu kwa wotu. Period

Mkuu, hiki unachosema hapa ni cha kufikirika na sio hali halisi. Ukweli ni kwamba siasa za Tanzania sa'hv zimeenda mbali sana.

Hebu fikiria viongozi wa upinzani wanaenda Ulaya eti kwenda kupaka mbovu ili serikali inyimwe misaada. hii maana yake, wanaiombea mabaya serikali, na kuiombea mabaya serikali maana yake ni kuwaumiza watanzania. hii ni dhambi kubwa sana waliyoifanya hawa jamaa wa UKAWA.

Juzi kati hapa, UVCCM mmoja kafariki, UKAWA hata hamkuombwa maoni, lakini mliirukia ile habari na kuanza kutukana ovyo ovyo.

Sasa kwa haya machache, unadhani hicho ulichokisema kinawezekana.?
 
Huwezi kunifundisha na hasa hizi za muungano. Sherhe tokea 1965 zinasheherekewa kitaifa Zanzibar. Na mara zote ikitokea kiongozi mkuu wa Tanzania ameshindwa kuhuduria hutolewa taarifa au mnyukuano umeanza. Kwa akilia zako unaweza kusema nimeandika utumbo , na uhuru hu unao, lakini na wasiwasi kama husumbuliwi na mawazo mgando na muono wa kusufurika

Maneno ya mipasho, kwao Lumumba na Kisonge!
Tatizo umezoea kukariri. Think out of the box. Sio kila kitu ulichozoea lazima kiwe hivyo milele. Member things changes over time. Umeambiwa sababu lete hoja nyingine ya kujenga.
 
Na Dr Shein akihojiwa na Tido Mhando amesema hatikiswi na vitimbi vya Magufuli, kwamba kila mtu ana style yake ya uongozi na akatoa mfano wa Hitler na Idi Amini...ni kama nilimwelewa anachosema!
 
Tatizo umezoea kukariri. Think out of the box. Sio kila kitu ulichozoea lazima kiwe hivyo milele. Member things changes over time. Umeambiwa sababu lete hoja nyingine ya kujenga.
Ni fahari kwangu Kukariri yaliomema na wala si vibaya, muhimu yasiwe ya kikafiri tu . Hayo ni mambo ya itifaki na huzingatiwa wakati wote. Siasa sio nyimbo za Injili.
 
Back
Top Bottom