Sherehe za kuzaliwa (birthday) tunaiga Wazungu au ni utaratibu uliokuwepo?

Jana mwananyamala kuna wengine wamebakwa na waume zao wote kwa pamoja...
Tehteh
jaman what a shame to our lovely country, ndo nini kinataka kuendeleaaaa, not to zet eksitent duuuh
 
Mimi kusema ukweli huwa sielewi na sipendagi kabisa huo ujinga. Cjui ni ushamba but am okey kabisa with my ushamba cause I feel happy being the way I am. Kuna mambo ya ajabu sana katika hii dunia, unakuta mtu hana hata income lakini likija swala la bday yake eti yuko radhi kukopa ili tu wenzake waona she/he did something on her/his bday.

this is really ridiculous to me and I insist to me and not otherwise
Umefikiri vyema kabisa ndugu
Wanaiga wazungu tu, haina maana yoyote kwao
 
Tena hao wanawake ndio usiseme,wamepata nji ya njia kutupiga mizinga! wanatamani ingekuwa hata mara 3 kwa mwaka....Unakuta mtu ana miaka zaidi ya 40 so sad bado anasherehekea Birthday Tu anasahau kuwa umri ndio unayoyoma wa kuishi Duniani.
 
Asa mbona nilikuwa na mpango wa kukimbilia kwako?

Huyo wa kuniteka nae kapania kunimwagia maji ...na baridi hili eti
itabidi uanze kuniandalia mazingira ya kutokukumwagia sasa maana miezi miwili imebakia
 
Back
Top Bottom