johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,080
- 164,399
Shehe Ponda ameweka nukuu inayosema; Ukitaka kuangamiza taifa lolote Duniani usitumie Mabomu wala Nyuklia bali Ua Mfumo Wao wa Elimu Ili wawape nafasi mbumbumbu nao watajiona wamefanikiwa
Ndipo Wagonjwa watafia mikononi mwa Madaktari, Magorofa yataanguka mikononi mwa Wahandisi, Pesa zitapotelea mikononi mwa Wachumi, Utu utapotelea mikononi mwa Viongozi wa Dini na Haki itapotelea Mikononi mwa Mahakimu
Ukiuwa Elimu Umeliangamiza Taifa
Bandiko liko huko X Ukurasani Kwa Shehe
Ukweli Uliotukuka 🐼
Dominica njema 🌹