Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 63,442
- 88,749
kutaka na kuwa ni vitu viwili tofauti ATCL ina ndege moja so farSidhani kama mimi nina wivu na Suzzy,nimefanya nae kazi sana tena kwa uzuri tu...kunazia ujio wa Rais wa Ujeruman Dar mpaka Arusha,ujio wa Bush kuanzia Dar mpaka Arusha na ile safari ya kihistoria ya Obama nchni Tanzania nilipata sehemu ya kazi toka kwake.Sina wivu na Suzy hata kidogo
Naona unachnganya mambo,hata ukienda Oliver Thambo International Airport huwezi kukuta ndege za South Africa Airways "Springbok" zinalipa parking fees na Landing Fees sawa na Ethiopia,Jomo Kenyata Int'nal Airport KQ(Kenya Airways) haiwezi kulipa ghalama sawa na itakavyolipa Rwanda Air.
Wakati Nyerere anaanzisha KIMAFA lengo lengo lilikuwa KIA ibaki kama sehemu ya Hangar/Maintanance kubwa kubwa kama Check C na Dsm ibaki kama "Line Maintanance Station" na hao wahandisi wawe ni Watanzania.Ndio maana Nyerere akapeleka shule vijana wengi sana wa Kitanzania Uholanzi kwa msaada wa KLM ili waje nyumbani.Mainjinia wote walio Precision na wengine kama "Station Engineers" wa kampuni kama Swiss Air,KLM,Oman Air,South Africa wenye umri mkubwa ni matokeo ya KIMAFA na juhudi za mwalimu,KLM ilikuwa ikipata "snag" ipo Tz basi haina haja Injinia kutoka nje kufanya marekebisho bali wazawa hapa hapa Tz wanamaliza kazi,Lkn leo snga kidogo tu wanatoka Amsterdam au wanafuatwa Wakenya.Tunataka KIMAFA Irudi,tunataka tuwe na marubani vijana wa Kitanzania na tunataka mainjinia wazawa wa enzi za KIMAFA....Hao alionao Suzzy wote kawatoa nje,na kwa sbb yupo kwenye mkondo wa VIA AViation International usifikiri anawalipa yeye,yeye ni sehemu ya VIA AVIATION INTERNATIONAL na kwake ni VIA AVIATION TANZANIA...