Serikali yamnyang'anya Karakana ya Ndege mwekezaji Uwanja wa Kilimanjaro(KIA)

Kila nikimuona huyu dada huwa najiuliza sana, she is still young, black beauty, charming and look simple. Na yuko seriously sana na kazi yake. Nahisi somebody is behind ila kama ni mbongo waangalie tu namna ya kufanyia addendum contract yake ili inufaishe na serikali.Nampenda sana huyu dada ila basi tu.
images

mkuu ukiona hivi..,..kuna mmarekani nyuma apo
ujue nyuma ya pazia kuna wiziiii
then she is not young ni mama2 mtu mzima,...ila may be kama umemzd
maxresdefault.jpg
 
Vioja vinaendelea Mh Mbowe alipiga kelele sana Ccm ndiyooo wakaona watetee ujinga. Na huyo waziri alikuwepo bungeni, sasa anajitangaza nini? Haya ni mambo ya aibu.
wanasemaga ukawa hawana mpya.....wakat jpm anatekeleza maneno yetu yote afanyayo........
mwerevu huelewa.....
 
Kama Suzanne Machibe ni Tanzania mwenzetu haina hata ya kumnyanganya kama hao ATC hawataitumia ...wampandishie tu Kodi kibiashara ..tusikomoe watanzania wenzetu alafu tushangilie....siungi mkono
Susan Mashibe is a FAA certified commercial pilot and an aircraft maintenance engineer, the first female with both qualifications in Tanzania. At present she runs VIA Aviation, a very successful Fixed Base Operation company she founded in 2003, specialising in logistical support to business aviation in the region. Her company has catered to Heads of State, monarchs, Fortune 500 executives, and military flights. Additionally, Susan is a Director of Kilimanjaro Aviation Logistic Center, which processes clearances for private jets throughout Africa. Ms. Mashibe is now a recognised leader in business aviation in Tanzania and East Africa.

Susan is a 2011 WEF Young Global Leader and an Archbishop Tutu Fellow of 2009. Susan is also a 2011 Fortune Most Powerful Woman mentee.

Currently, Susan is establishing aircraft maintenance and repair services at Kilimanjaro which will measure up to international standards for general and corporate aviation.

Susan strives to promote math and science, paying special attention to female pupils in primary and secondary schools in Tanzania...........mkuu
 
Hiyo Karakana Enzi hizo ikiwa inajulikana kama Kilimanjaro Maintenance Facilities (KIMAFA) ilikuwa mali ya ATC lakini kwa uroho wa kugawa mali za serikali chini ya utawala wa Mkapa wakawanyanga na kuwapa KADCO. Kilichofanyanyika ni kuua uwanja na hiyo karakana ikawa kama godown.
Kwa hiyo bora serikali hii imeshutuka na kuwanyanganya hawa majitu yanayojiita wawekezaji. Ulikuwa ni mradi wa ndugu zake na mke wa Mkapa katika ile aharakati za kujimilikisha mali za umma
+kiwira.....na shemeji zake ben 75% wana own......na jana kaenda tena ikulu...
 
Kila nikimuona huyu dada huwa najiuliza sana, she is still young, black beauty, charming and look simple. Na yuko seriously sana na kazi yake. Nahisi somebody is behind ila kama ni mbongo waangalie tu namna ya kufanyia addendum contract yake ili inufaishe na serikali.Nampenda sana huyu dada ila basi tu.

kama unampenda nenda kanywe nae kahawa, lakini kwenye kutia hasara serikali sema noooooo.
 
Apangishwe kwa kozi stahiki,maana hao ATCL ndege wanayo moja tu,waifanye karakana ijiendeshe kibiashara..
 
kama unampenda nenda kanywe nae kahawa, lakini kwenye kutia hasara serikali sema noooooo.
Sio kwamba anaingizia serikali hasara, issue hapo ipo ivi mfano wewe una duka unapata profit ya 50,000/month na ndo uwezo wako wa kuzalisha umefikia hapo, anakuja mtu anakwambia afanye yeye hiyo biashara awe anakupa 100,000/month unakubali. Anafanya uwekezaji anaboresha unagundua anapata 400,000/mwezi unaanza kuona wivu wakati wewe hukua na idea ya kutoka kwenye kipato cha 50,000/month kwenda 400,000/month. Hivyo ndo ilivofanya serikali, wangetuambia kabla ya kumpa huyo mwekezaji wao walikua wanapata kiasi gani? mana huyu dada kaboresha eneo kaajiri na watu wakati before ilikua gofu. Wao wangekuja na term mpya, hapo naona kama wameloby idea ya Suzani.
 
Huyu Suzan Machibe hana aibu... bado anasema anataka UBIA.. kweli uchizi wa fedha hauna aibu..!! Damn..

Tena angetakiwa apigwe faini...!!! Ameingiza millions, huku alikipa kodi kiduchu sana sanaaaaa...!!! Safiii Pro. Mbarawa... though umechelewa...
Kwani mkataba alitengeneza yeye? wacheni kuwa short sighted. Karakana ile ilikaa idle miaka kadhaa bila kutumika. Suala la kwamba kaingiza pesa nyingi ni wivu wa kufikiri. Watanzania wengi wa watu wa kufuata mkumbo. Kama alikuwa anapata wateja unadhani jengo hilo likichukuliwa na serikali ndiyo hao wateja wataendelea kuja? Hii ni hadithi sasa na vile tulivyokuwa tunawalaani wa Kenya kwa kufaidika na mlima wa Kilimanjaro wakati sisi tulikuwa hatuvuni ipasavyo na ukweli ni kuwa halikuwa kosa la Kenya bali udhaifu wetu kwenye marketing ndiyo unatutia umasikini. Inawezekana wakamnyang'anya huyo mama hiyo hangar lakini inawezekana yaleyale aliyokuwa anayafanya hapo kia akayafanya nchi nyingine na serikali ikarudi back to square one itawekeza lakini returns zitakuwa finyi. Hivyo the best option nionayo mimi ni ubia na serikali na waampe mkataba mrefu ili aweze kuwekeza na kurudisha investment atakayoweka.
 
Susan Mashibe is a FAA certified commercial pilot and an aircraft maintenance engineer, the first female with both qualifications in Tanzania. At present she runs VIA Aviation, a very successful Fixed Base Operation company she founded in 2003, specialising in logistical support to business aviation in the region. Her company has catered to Heads of State, monarchs, Fortune 500 executives, and military flights. Additionally, Susan is a Director of Kilimanjaro Aviation Logistic Center, which processes clearances for private jets throughout Africa. Ms. Mashibe is now a recognised leader in business aviation in Tanzania and East Africa.

Susan is a 2011 WEF Young Global Leader and an Archbishop Tutu Fellow of 2009. Susan is also a 2011 Fortune Most Powerful Woman mentee.

Currently, Susan is establishing aircraft maintenance and repair services at Kilimanjaro which will measure up to international standards for general and corporate aviation.

Susan strives to promote math and science, paying special attention to female pupils in primary and secondary schools in Tanzania...........mkuu
Thanks for the prologue.

The issue is she turned KIMAFA uproductive such that it has not delivered the intended results especially economic benefits to the public.

The other issue is the way the contract was entered raises eye brows.

Why does she want partnership now and not before?

Can she account for the assets of KIMAFA in actual sense and facts?

She is now tasked to collerate her CV with value she can add to KIMAFA for public interest rather than ripping the nation.
 
Serikali imemnyanyang’anya mwekezaji wa kampuni ya Via Avition karakana ya kutengeneza na kutunza ndege iliyopo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro na kuirudisha kwa shirika la ndege ATCL kutokana na mwekezaji kulipa ushuru mdogo wa dola elfu tatu kwa mwezi huku yeye akiingiza malioni ya fedha hali iliyotajwa kuwa ni kuitia serikali hasara na ufujaji wa rasimali za Umma.

Akitoa maamuzi hayo waziri wa ujenzi mawasiliano na uchukuzi Prof Makame Mbarawa aliyetembelea uwanja huo na miradi mingine ya wizara yake kukagua utendaji wa kazi amesema serikali imefika hatua hiyo baada ya mwekezaji kupewa miaka kumi ya uendeshaji wa karakara hiyo lakini amekuwa akilipa fedha kidogo na kuitia hasara serikali hiyo imeichuka na kuirudisha serikali kwani hakuna muda wa kufumbia macho hujuma za rasimali za umma.

Akizungumzia maamuzi hayo mwekezaji wa kampuni ya Via Aviation Suzani Machibe amesema kwakuwa shirika la ndege Tanzania ATCL halina uwezo wa kujiendesha kutoka na na uchache wa ndege zake walitumia karakara hiyo kwa matengenezo ya ndege ya mshirika mengine hivyo ameiomba serikali kutonyanyang’anya na badala yake waingine naye ubia kuendesha karakana hiyo.

Kaimu mkurugenzi wa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro Bakari Murusuru amesema watatekeleza maagizo ya serkali ikiwamo kukabiliana tatizo la upitwishaji wa dawa za kulevya pamoja na utoroshwaji wa nyara za serkali kwa kuimarisha ulinzi pamoja na kuweka mitambo ya kisasa katika uwanja huo.

Suzani Machibe... mpaka serikali inatoa karakana hiyo ilijua kwamba ATCL haikuwa na ndege za kutosheleza kuitumia facility hiyo. Argument ni kwamba, kama ATCL hawaitumii inatumika na mashirika mengine basi serikali ipate malipo yake stahiki. Pia Waziri aseme wazi mwekezaji huyo alipewa karakana hiyo kwa mkataba wa dola ngapi kwa mwezi? asiseme tu analipa fedha kidogo. Pia Kama kuna uhaba wa ndege zinazotumia karakana hiyo kosa ni la nani?
 
Alete asilete mimi sitaki ATC yenye misingi ya quick sand. Arejee misingi ya industry kama Ethiopian Airline

Mkuu kodi ilikuwa siyo agenda ya ubinafsishaji na kuuwa mashirika. Agenda iliingiliwa na ukosefu wa uadilifu ukizingatia viongozi na chama walivyokuwa wakifaidika na mchakato mzima. Mimi naona fursa kwenye varagati hii ambayo itatusidia wote kupata fahamu ya utaifa wetu kifikra.

Nakubaliana kabisa kwamba mpangaji hana hatia kwa kuwa alipewa kima kiduchu cha kodi na yeye alikuwa anakilipa. Sasa baada ya kugundulika kasoro ya kima cha kodi ama atozwe kiasi stahili au mkataba wa pango usitishwe. Mbali na hayo yule mtu serikalini aliyepanga kima hicho cha kodi achukuliwe hatua zinazostahili kama waziri Yona alivyoishia kufungwa.
 
Wanakurupuka tu, atachukua vifaa vyake asepe awa achie karakana kama jengo tu, halafu muanze kutengeneza ndege zenu Nairobi.
Ni kweli lakini ngoja! Waziri gani huyo aliyeweza kutumbua jipu la KIA? Waziri wa Ujenzi!!!!! Kumbe angekuwepo huyu siku zote huko nyuma (miaka yote, tangu KIA ibinafisishwe!) yote haya yasingetokea, walah nasema- athubutu kuchukua kifaa chochote aone cheche za moto mkali. Sio enzi zile ambazo hatukuwa na Waziri wa Ujenzi!
 
Hivi kwani hiyo hela anaamua kulipa yy ama aliingia makubaliano na serikali ya mkwere?

Kunyanganya sio solution, wakae mezani na wabadili terms na conditions za ulipaji Wa kodi.....

Serikali hawawezi kuendesha hiyo karakana
 
Nakubaliana kabisa kwamba mpangaji hana hatia kwa kuwa alipewa kima kiduchu cha kodi na yeye alikuwa anakilipa. Sasa baada ya kugundulika kasoro ya kima cha kodi ama atozwe kiasi stahili au mkataba wa pango usitishwe. Mbali na hayo yule mtu serikalini aliyepanga kima hicho cha kodi achukuliwe hatua zinazostahili kama waziri Yona alivyoishia kufungwa.
Kama majipu ni serikali nzima.

Uzoefu wangu katika utumishi serikalini ni kuwa watumishi wengi hasa kwenye ngazi ya wakurugenzi hawana sifa za kisekta.

Wanateuliwa na rais ambaye anachaguliwa kisiasa. Kwa maana nyingine hatuna serikali yenye kujikita katika utendaji wa kiserikali kwa taaluma. Tuna wateuliwa wa kisiasa wanaondesha serkali kisiasa (yaani kimatukio).

Kwa hiyo issue ya KIMAFA iliamuliwa kimatukio na hata sasa kuna siasa. Tujiridhishe kuwa kwa sasa kuna fursa na mwelekeo wa kutambua kasoro na changamoto.

Jinsi ya kutumia hii fursa iliyojitokeza ni changamoto ya kupewa nafasi maana ni kipindi cha mpito. Kunahitajika uongozi uliobobea kwenye kusimamia vipindi vya mpito.
 
Wanakurupuka tu, atachukua vifaa vyake asepe awa achie karakana kama jengo tu, halafu muanze kutengeneza ndege zenu Nairobi.
aende zake, kwani vifaa gani alivyokua navyo serikali inashindwa kama si dili tu za vigogo. watu wanakula faida juu ya uwekezaji wa umma. ughiiii..walaaniwe.
 
Suala hili lina mgogoro mkubwa sana, naamini Mbalawa amepita nyayo za Nundu, kuliwahi kuzuka mgogoro enzi za Nundu,

Naamini mgogoro sio kodi ndogo... Bali lipo jambo
Mkuu funguka zaidi tujue nini hasa chanzo cha kigugumizi cha Mr Nundu.
 
Serikali iko katika maandalizi. Akitoka hapo mtasikia mwanza airport na mbeya airport. Serikali iko katika maandalizi ya kushusha five brand new airbus planes zenye uwezo wa kubeba 120 passengers za zaidi kila mmoja. Serikali inataka air Tanzania ambayo itakua na nguvu ndani kwetu kuliko Kenya airways na fastjet. Ndege hizo ni za kisasa hivo kutakua air Tanzania route za KIA entebbe. KIA mwanza. KIA mbeya. KIA Nairobi. KIA Kigali. Dar KIA Dar entebbe Dar south Africa dar Lusaka nakadharika. Afu nashauri hizo za watu 120 wakinunua tano waache zinatosha kwa kuanzia ila Walete mitulinga mingine mitatu ile ya abiria kuanzia 250 iwe inapishana angani Dar dubai Dar Hong Kong. Dar shanghai. Routes hizo zina abiria wengi sana yani. Ukipanda emirates unaenda ulaya kutoka Dar utaona mko watu kibao wengine wazambia mkifika dubai tu unaona wabongo karibia wote wanaelekea kwenye mageti ya abiria wanaolekea macao. Hong Kong. Guanzou. Shanghai nk. Hizo routes zina nyomi la hatari Ethiopian na Kenya airways zote zina direct flights za huko nyingi sana. So hizo za kurudisha karakana yetu ni hatua mojawapo magufuri anataka air Tanzania ipige hela angani na aridhini. Angani inakula vichwa na ardhini inatengeneza pesa kupitia karakana zake so Ndege za kigeni zote hizo parking fee mnazozisema tunazipiga wenyewe. Huyo dada Si aombe Serikali impatie eneo porini ajenge kiwanja chake cha Ndege? Kwanini akomalie ubia? In a maana kuna hela ya maana pale na sisi kupitia air Tanzania mpya tunaitaka hiyo hela. Msitetee jamani tuseme inatosha tumeliwa vya kutosha.
 
Back
Top Bottom