Serikali ya Kenya yashindwa kulipa mishahara, Madaktari watishia kuanza mgomo

Hajielewi huyo
Wajinga ninyi, kwa hiyo kwasababu Corona inalikumba Jimbo la California Trump hausiki kulaumiwa?, hayo mambo yenu ya utawala ni ndani ya nchi yenu, nje ya nchi hayana maana yoyote anayejulikana ni Uhuru na serikali yake.
 
Pesa za Corona kuna wahuni watazipigaa hasaa...!! Hayo mabilioni yatatafunwaaa vilivyooo.. Ndo maana watu wanaacha kazi za maana kama Udaktari wanakuwa Wanasiasa sio mafalaa... Dr wanapambana na corona face to face wanasiasa kazi yao kutumbua mishahara ya wanaofanya kazi
Life is not fair
 
Wajinga ninyi, kwa hiyo kwasababu Corona inalikumba Jimbo la California Trump hausiki kulaumiwa?, hayo mambo yenu ya utawala ni ndani ya nchi yenu, nje ya nchi hayana maana yoyote anayejulikana ni Uhuru na serikali yake.
Carlifonia mi sijui inajiendeshaje, kwhyo usiniletee upuuzi wa vitu ambavyo hta havinihusu maishani..

Tumalizane kwnza na nairobi, lkn usionee haya kubadilisha mada
 
Carlifonia mi sijui inajiendeshaje, kwhyo usiniletee upuuzi wa vitu ambavyo hta havinihusu maishani..

Tumalizane kwnza na nairobi, lkn usionee haya kubadilisha mada
Sisi tunajua Kenya tu, ushuzi wa Nairobi, Turkana au Kibera huo hautuhusu, yote hiyo ni Kenya chini ya Uhuruto na Jubilee, yaani (Failed state)
 
Si ndio manake unaona hayo mambo yote
Kwn unafikiria ingelikua hakuna ungeliona kitu kweli..yangekua yale yale ukifia shauri yako
Tuone au tusione haizuii madaktari na wakenya kufa kwa wingi, muhimu ni kuzuia vifo na maambukizi, sio kuacha kushughulika na kupunguza vifo na maambukizi badala yake mkaweka umuhimu katika kutanga vifo na maambukizi na mkajisifia ktk hilo, mkiendelea na ujinga huu kamwe hamtoweza kutoka katika kundi la "Failed states"
 
Sisi tunajua Kenya tu, ushuzi wa Nairobi, Turkana au Kibera huo hautuhusu, yote hiyo ni Kenya chini ya Uhuruto na Jubilee, yaani (Failed state)
Tatizo pachiko lako haliendani na ulichokiandila..
Kwhyo tunaweza sema hujielewi au ni kujitoa ufahamu tu ndio umeamua
 
Hivi wabunge wa Kenya si walikuwa wana katwa % kwenda kwenye kusaidia C-19. Iweje sasa Madr wanashindwa kulipwa mishahara???
 
Wajinga ninyi, kwa hiyo kwasababu Corona inalikumba Jimbo la California Trump hausiki kulaumiwa?, hayo mambo yenu ya utawala ni ndani ya nchi yenu, nje ya nchi hayana maana yoyote anayejulikana ni Uhuru na serikali yake.
Tanzania ni middle income country, matatizo ya kulipana mishahara tushayasahu tangu utawala wa Ben Mkapa ulipoingia madarakani
😂😂😂😂😂 Na usisahau mafao ya wazee waliostaafu bado kulipwa miaka 3 Sasa na pia Wakulima wa Koroshow 😉
Wachumi mnisaidie: Fedha iliyookolewa kwa kutoongeza mishahara , vyeo na marupurupu watumishi kwa miaka 5 inaweza kulipia miradi mikubwa mingapi?
 
Back
Top Bottom