Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

Acha uongo na uzushi,Hilo halitakaa litokee
 
Mdogo wangu Lucas umewaelewa wanachosema Lakini?????
 
Sasa posho za nini wakati wapo likizo? Kuna majukumu gani wanafanya wakati wa likizo. Na wasipewe tu. Zinawapa kiburi, wanajiona miungu watu!😏
 
Likizo hadi inakaribia kuisha hatujalipwa pesa ya nauli ni aibu kubwa
 
Sasa posho za nini wakati wapo likizo? Kuna majukumu gani wanafanya wakati wa likizo. Na wasipewe tu. Zinawapa kiburi, wanajiona miungu watu!😏
Kama ni stahiki yao kisheria kwa nini wasipewe mkuu, hii "perception" ya kuwa kila shule ikifungwa walim wanakua likizo ni mbaya mnoo, kwa maana hiyo kwa mwaka walim wana siku za likizi zaidi ya siku 60, tofauti kabisa na watumishi katika kada nyingine?
 
Umetype Kwa makasiriko.
 
Acha ubuege bana! Tamisemi Wala elimu hawahusiki na mishahara Wala posho
 
We jamaa unawashwa Vibaya sanaa funguka wahuni tutaraddad
 
Hizi ni tetesi ila wanafanya sana mchezo na hawa wanaotukuzia watoto wetu kielimu ndio maana mazezeta yanaongezeka mtaani japo uwalimu ni wito ila wanafamilia pia na kibaya wanaona kada nyingine wanavyolipwa mishahara minono mwalimu sio wa kulipwa laki tatu kwa mwezi wakati kuna dereva wa sekta fulani anavuta hadi 4m kwa mwezi hakuna usawa na wote sisi tunategemea mwalimu amfundishe na kumjuza yalio mema huyu mtoto wetu. Kiufupi kuna kazi lazima zipitiwe upya mishahara tukiendelea kukandamiza walimu basi tujitahidi wote tusisomeshe watoto wetu shule za kata ili kuepusha mazezeta mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…